Wanawake waja na mbinu mpya za uchunaji

Wanawake waja na mbinu mpya za uchunaji

SNGAS

Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
30
Reaction score
6
Nimegundua wanawake wengi siku hizi wanachuna kwa style ya kuomba offer za lunch,dinner,beer na lift yaani hawapigi mizinga mikubwa sana,,,,,ili mradi tu apate mtu wa kumpa hivi vitu unamtafuna kiulaini kweli,,,,,
 
Jamani hata lunch, dinner na lift nayo ni kuchunwa!!!!
 
mi sidhani kama wanachuna...wanahitaji mapenzi plus kuhudumiwa kwakua wanastahili na ndivyo ilivyo toka mwanzo wa adam na hawa
 
Una miaka mingapi mleta mada?

Wewe "umeshachunwa" na wangapi kwa namna hiyo? Ukishajibu hili, sasa kapime UKIMWI.
 
Nimegundua wanawake wengi siku hizi wanachuna kwa style ya kuomba offer za lunch,dinner,beer na lift yaani hawapigi mizinga mikubwa sana,,,,,ili mradi tu apate mtu wa kumpa hivi vitu unamtafuna kiulaini kweli,,,,,

tupatie past experience..

kwani zamani michuno ilikuwaje?

michuno kijana ndiyo hiyo kama ulikuwa hujui!

sio lazima upigwe laki tano, hata buku 2 ujue ushachunwa! buku 2 mara wanaume 10 kwa siku = 20,000/=!
 
du, kila zama na mbinu mpya uchunaji!! tukimbilie wapi bandugu? maana hawa wanawake sasa naona wameamua kukaba hadi penalti!!
 
Kuwa mwanamke kazi sana,hasa kipindi hiki ambacho wanaume wanapungua kwa kasi!!!
 
Umeandika kwa hisia sana mpendwa. Mtangulize MUNGU kwa kila jambo.

Hii mada naiona ya kitoto mno. (maoni yangu).
 
Nimegundua wanawake wengi siku hizi wanachuna kwa style ya kuomba offer za lunch,dinner,beer na lift yaani hawapigi mizinga mikubwa sana,,,,,ili mradi tu apate mtu wa kumpa hivi vitu unamtafuna kiulaini kweli,,,,,
Binafsi naona ni hali ya kawaida tu, maana nipo tayari kumnunulia chochote kile ila sio kumpa PESA.
 
kama unaona hivo vitu ni uchunaji,bas ndugu hujawai chunwa maishan kwako,..niulize mim,
 
kuhusu miaka kamuulizie bibi yako, halafu ukimwi nataka tukapime wote,
Una miaka mingapi mleta mada?

Wewe "umeshachunwa" na wangapi kwa namna hiyo? Ukishajibu hili, sasa kapime UKIMWI.
 
mm naona ni uchunaji tu,maana mtu anaenda glossary anakunywa hata wiki nzima ww ukienda unapewa bill ya vinywaji na chakula,,,is that not uchunaji maana ww wiki nzima umekimbia baa kisa ukata,wengine hatuna vipato vikubwa vya kuchunwa magari lakini kwe2 ss hata huu ni uchunaji
 
Back
Top Bottom