Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwadilla Kuna wanawake fulani nilikuwa nao jana kwenye semina niliwasikia wakisema kuwa wamechoka na mfumo dume yaani ile kugandamizwa kwa kila kitu kwao imeshawachosha wanadiliki hata kukaa na...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Habariii wana JF, Plz naomben mnisaidie Mawazo....coz nko na girl kwa miezi 6 sasa, tushajiwekea mipango kibao....lakini hivi karibuni mwenzangu anataka kuhamia upande wa pili wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Shoga a.k.a unt suzi anasimulia maisha yake akijihusisha na shughuli zake za ushoga akisimulia kupitia clouds fm .
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mtalaka ambaye ni Raia wa Uingereza Amanda Rodgers ametoa kali ya mwaka baada ya Kufunga Ndoa na Mbwa wake kipenzi aliyempa Jina la Sheba baada ya kudai kuwa na mapenzi ya dhati na Mbwa wake...
0 Reactions
59 Replies
23K Views
Kwa yeyote ambae yuko serious plz call me 0759403221,tutaonana na kuongea tukipendana poa tukishindana its ok kwani mapenzi ni makubaliano.
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Salum Athuman (22), amejikuta akivishwa kanga na kutembezwa mitaani baada ya kwenda nyumbani kwa mwanaume mwenzake, Dastun Mkereti (26) kwa lengo la...
0 Reactions
44 Replies
15K Views
TRUE STORY: Kuna mshkaji mmalaysia ( mmalay) alimuaga mkewe anaenda China.Mke akamsindikiza hadi airport,kumbe jamaa kaingia na kutoka akazama kwa mchepuko. Sasa jamaa amenasa kwenye apartment...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Kama ushawai kuacha au kuachwa unahisi kuna ukweli ktk picha hii?
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Miaka 35 sasa imepita tangu nilipozaliwa, wale ma ex girlfriend wangu wabakiaji, ambao hawajabahatika kupata mume, wananisonga kwelikweli tuingie kwenye taasisi ya ndoa. Wote wamezalishwa...
11 Reactions
241 Replies
16K Views
Takriban wiki moja imepita tangu nilipofanya mazungumzo na mke wangu, nilidiriki kumweleza ukweli kuwa kwa kipindi kirefu nilikuwa natoka nje ya ndoa, na hivyo nikamwomba anisamehe na kuwa najutia...
0 Reactions
91 Replies
10K Views
Natural beautful gal umri 18-22.aliye tayar an PM.
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Heshima kwenu wana MMU! Nahitaji kumnunulia mpenzi wangu(ke) kidani chenye Herufi(H) au chenye umbo la H Sasa nimezungukazunguka kwenye maduka machache hapa dar(kama matatu hapa kinondoni) na...
1 Reactions
33 Replies
10K Views
Najua hili litawashangaza wengi hususan wanawake, lakini hii ni kwa mujibu wa taarifa za utafiti wa kisayansi zinazobainisha kwamba pia wanaume nao wanaweza kuonyesha dalili za ujauzito. Hebu...
10 Reactions
39 Replies
7K Views
Nimebahatika kupata biashara ya vitu mchanganyiko ( vyakula na vioungo mbalimbali vya misosi na juice ) , na Mungu kanipa neema ya kuwa na wateja wengi kiasi na waaminifu.. Naifurahia biashara...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kuna watu bado wanafikra fupi sana juu ya tabia za wanawake, wengine wakihisi kupendwa sana na wanawake.. Kiharisia hakuna mwanamke duniani anapenda mwanaume , simaanishi hata mama, dada ,na...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Aliye tayar anchek PM tupeane mawasiliano
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Ninayo masikitiko makubwa kuwaambia rasmi kuwa na hama jukwaa hili nakuhamia jukwaa la la siasa na jukwaa la katiba mpya maana naona kunamatatizo katika nchi yetu.nashukuru sana kwa upendo wenu na...
0 Reactions
121 Replies
9K Views
wanawake wa siku hizi wanatia aibu ,matiti,kitovu nyinjenyinje,skirt ni transparent (------ yanaonekana,thamani iko wapi)
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hii ni kweli kwa ufupi tu ninae rafiki yangu tulisoma pamoja na mungu akajaalia hata kazini tupo pamoja mwenzangu amebahatika kuwa mimi nilikua mpambe wake ktk haruc ila hivi sasa mkewe anaonesha...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Back
Top Bottom