Sababu za msingi za kumyima mwenzako penzi

Sababu za msingi za kumyima mwenzako penzi

Magnificient

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,177
Reaction score
734
Aaaagh... Hadi usiku unakuwa mrefu sana! Hadi nasahau kuwasalimia wakubwa wenzangu, wana MMU wazima? Tupigane msasa kidogo, mimi nilijua kwa mtu kumnyima mwenzake penzi sababu ya msingi sana ni ugonjwa au kuwa katika hedhi kama ni mwanamke. Cha ajabu mtu aumwi wala hayupo kwenye hedhi halafu anakataa tendo, eti sababu hajisikii??!! Au akili yake haijatulia eti. Naomba tujuzane ili tusihisi kuonewa, sababu za msingi za mtu kushindwa kushiriki tendo ni zipi? Isije ikawa mtu katoka kuchepuka.
 
Hajisikii kwa sababu kisha malizwa haja zake, ama anapenda haja zake zitatuliwe na mtu fulani. Sijisikii zikizidi stuka na uchunguzi wa kwanza anza na papuchi yake. Mda mwingine ajisikii kwa sababu ana fangasi, kwa hiyo akifanya tendo la ndoa anaumia au dushe lako kibamia kwa hiyo anaona unampaka shombo tu. Au una mdushelele kwa hiyo anaogopa maumivu. Au amekuchoka kwa tabia zako
 
Hapana, si wakati wote mtu unakuwa tayari kufanya mapenzi au una hamu na hilo tendo. siku hazifanani, cku nyngne huhitaji kabisa kuguswa
 
aaah wapi,ana sabab za kimapenz huyo,..either ameichoka mashine au kuna mwana anamkatikia ipasavyo
 
achana nae bana,kwan kitu gan,..ingia kwa bafu,piga puli rud lala,..kitu ghaani bhaana
 
Jaribu kumbembeleza kwa maneno matamu, atakupa tu! Mwanamke kudengua....lol!
 
Inatokea tuu hujisiki sio Kama umeshasaidiwa wala nini,na Kama ikiwa Hana hamu ya tendo wewe ukiwa Kama mume wajibu wako kumdekeza atajisikia tuu,lakini Ikija Kama Police utaisoma number...
 
I will see if I will be ready to get hurted by the tym u say gdbye
 
Mkuu hutakii mema nguvu zangu za kulimia?

kwan si sawa tuu na akikupa ,nguvu ztapungua pia,..mwanamke akikataa kufanya,hyo siku acha kabsaa,sababa hat ukimbembeleza,kama unavowajua ,wana huruma sana,so atakupa tuu ilimrad ucheke kesho uumpe hela ya saloon,ila ye walaa,yuko mbaali labda anawaza kuchkua mkopo saccos
 
ukiona anakataa ujue HAKUPENDI(tena) au HAKUTAKI...usitafute sababu nyingine
 
Hapana, si wakati wote mtu unakuwa tayari kufanya mapenzi au una hamu na hilo tendo. siku hazifanani, cku nyngne huhitaji kabisa kuguswa

Thats what I believe.
 
Inategemea mahusiano yenu yakoje!hata kama hajisikii atakueleza kinachomsibu ila ikizidi,kodi fastjet.
 
Tukiacha zile sababu za msingi ulizosema,wanawake kwa ujumla hawako tayari kwa tendo kila wakati hasa kama mwanaume una ashiki za ngono kila siku mnaweza kukosana na mke wako. Mwanamke ukimpa dozi ya kutosha labda round 2 au 3 na ukamfikisha sawasawa anaweza kukaa hata siku 3 hana hamu kabisa. Ni vizuri kumsikiliza na sio kumlazimisha au kuwa mkali. Ukimwelewa na kumvumilia mtakwenda sawa. Kumtuhumu kuwa anahudumiwa na mtu mwingine humtendei haki. Yeye pia anahitaji kufanya ngono anapokuwa tayari kabisa kwa tendo na hapo ndio ataenjoy uhusiano wenu.
Mkikutana wenye mahitaji tofauti ya ngono inaweza kuwaletea shida sana kama busara haitatumika. Hii haijalishi ni mke au mme, mmojawapo anaweza kuwa na mahitaji makubwa yaani kila siku na pengine mara kadhaa kwa siku wakati mwingine anataka mara 3 tu kwa wiki. Hapo mnaweza kuishia kutuhumiana na kugombana. Wakati mwingine hata mmoja kulala kwa watoto au sebuleni. Mambo yakifikia upeo hadi mmoja kutafuta faraja nje ya mahusiano yenu.
Lakini hampaswi kufika hatua hiyo. Kaa chini mzungumze, yule mwenye kuhitaji dozi kubwa amvumilie mwenzake maana akikosa hatakufa na huyu mwenye kuhitaji dozi kidogo pia amvumilie mwenzake maana akiamua kumridhidha mara moja moja wakati yeye hajisikii kwa tendo naye pia hatakufa. Ni masuala ya kuwekana sawa tu.
 
ukisikia kubakwa, ndio huko sasa!

penzi bora na lenye thamani ni lile linalotolewa pale wawili (me na ke) wanapokuwa tayari kiakili na kimwili..

kama mmojawapo anaposema hayuko tayari, bora utuli tu kungoja siku nyingine...

ila kama wewe ni janja janja, kuna vitu vinaweza kumleta mpenzi wako kwenye mood na mkaweza kuburudika kabisa mashaallah! vijana tunapotea kwa kukosa maarifa ya kimapenzi..!

jamani msifanye mapenzi ya zimamoto ama FFU....! andaaneni hata kwa saa nzima na kuendelea huko kwa kuanza na sweet talk, romance za huku na kule then mnaweza kuchapana sasa ndani kwa ndani!

2010-12-06-cuddle_call.png
 
Kwa hiyo tudoo tu hata kama sina ham thrb ntampa ila sitakuwa na ushirikiano which is more worse.
Chamaana ni nawasiliano na kumjua mwenzako utajua ufanye nn kumweka kwenye mood
 
ukiona unatendwa ujue kuna mwenzako anapendwa! na ukiona unapendwa ujue kuna mwenzako kishatendwa....
WebRep

WebRep

line-dark-horizontal.png
Overall rating
line-dark-horizontal.png




line-dark-horizontal.png
 
Aaaagh... Hadi usiku unakuwa mrefu sana! Hadi nasahau kuwasalimia wakubwa wenzangu, wana MMU wazima? Tupigane msasa kidogo, mimi nilijua kwa mtu kumnyima mwenzake penzi sababu ya msingi sana ni ugonjwa au kuwa katika hedhi kama ni mwanamke. Cha ajabu mtu aumwi wala hayupo kwenye hedhi halafu anakataa tendo, eti sababu hajisikii??!! Au akili yake haijatulia eti. Naomba tujuzane ili tusihisi kuonewa, sababu za msingi za mtu kushindwa kushiriki tendo ni zipi? Isije ikawa mtu katoka kuchepuka.

inatokea mara nyingi tu si kila wakati tuwe na negativd states kwa wenzi wetu anaweza akaenda kugegedwa na akarudi akakuhudumia nawe vizuri tu
Lakini pia jaribu kuwa mtundu na mbunifu ila kila akikuona akutamani
 
Back
Top Bottom