jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 258
Habari wakuu!!
Naona mwaka huu unataka kuwa wa majanga kwangu
Nimepata ujauzito ila mwanaume mwenyewe simsomi mahusiano yetu yapo yapo tu ilimrad..
Hapa nilipo nawaza mpk kichwa kinataka kupasuka, nawaza sijui niutoe lakin sijui pa kuanzia sijawah kutoa mimba
Nikisema nizae, mtu mwenyewe simsomi tupotupo tu
Kiumri nina miaka 27 simtegemei mtu na hata mtoto naweza kumlea mwenyewe..
Ila hofu yangu tu ni aina ya mahusiano tuliyonayo ndio inayonipa shida..
Naomba mawazo yako tafadhal