Nilicho observe Nyama Choma Festival

Nilicho observe Nyama Choma Festival

Tembomtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
266
Reaction score
427
Jumamosi nilienda kwenye nyama choma festival. Offcourse ilikuwa na watu wengi wa kila aina.

Niliwahi kuingia so I had an opportunity kupita pita almost kwenye kila angle kuangalia.

Sasa baadae nikawa nimekaa sehem na washkaji piga story mbili tatu.

Lakini kila wasichana(ladies) wakipita wengi wao ni weupe na weupe wao sio ule natural yaani unaona kabisa hapa kuna "wema type" nikajiuliza ndo style ama genes za watu weupe zimeisha?
 
Kujipiga deki ndo habari ya mjini kwa sasa. Ila kusema ukweli wanaume mna shida, hivi mnajisikiaje mnavyo do na wanawake sura fanta mgongo pepsi? hamuogopi mchanganyiko wa rangi? Me kwa kweli mwanamke mwenzangu akijichubua namuogopa, hata akipika chakula napata shida kula.
 
Hao walikuwa sokoni kama jina la festivala lenyewe lilivyo basi ungemchukua mmoja umchome,kama alivyosema Excel hapo juu wale wa nyama ya mchuzi wako ndani wametulia
 
yaaani mdau ulikosa cha kuobserve zaidi ya rangi za wadada? ulifata nyama au mwanamke?

Atuwacheeeee.......tujipake mambo yetu....khaaaa!!!!......kila kukicha.....bora ya jana......hatupumui.......
 
Kujipiga deki ndo habari ya mjini kwa sasa. Ila kusema ukweli wanaume mna shida, hivi mnajisikiaje mnavyo do na wanawake sura fanta mgongo pepsi? hamuogopi mchanganyiko wa rangi? Me kwa kweli mwanamke mwenzangu akijichubua namuogopa, hata akipika chakula napata shida kula.

We acha tu, nilikuwa na demu akaenda nje ka miezi mitatu hivi. Kurudi kajichibua, nikajiweka pembeni fasta. Siwezagi kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom