Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wadau. Nilikuja hapa miezi miwili iliyopita nikieleza namna jinsi wanawake walivyo viumbe katili. Lakini kwa vile leo niko via mobile nimeshindwa kufanya attachment ya thread ile...
15 Reactions
58 Replies
7K Views
Jamani naleta hili tatizo nipeni mawazo yenu, Mwezi Novemba mwaka jana nilikutana na binti mmoja. Alitokea kunipenda ghafla lakini mimi sikuwa na mawazo hata. Nilivyoona ananisumbua na sms...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu..mim ni kijana wa miaka 22..Sikuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu, takribani miezi 3 ilyopita..basi baada ya upweke wote huo, mnamo mwaka huu mwezi wa pili niliamua kutafuta...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Ukimpenda sio lazima nae anakupeda? Ukiwa muaminifu huenda nae sio muaminifu? Ukimjali huenda yeye hakujali? Jisimamie na usifanye hayo kwasababu ya mtu mwingine bali kwasababu umejua kuwa ni...
8 Reactions
80 Replies
6K Views
Hivi wewe baba au mama uliye kwenye ndoa na bado unaendekeza michepuko huwa unajisikiaje ukisikia au kuliona lile tangazo la PSI? Kama nafsi yako inakusuta basi chukua hatua ila Kama huskii...
5 Reactions
67 Replies
6K Views
Kwa utafiti niliyoufanya kwa kipindi kisichopungua miaka minne, nimegundua kwamba mwanachuo mmoja kuanzia anaanza mwaka wa kwanza mpaka anamaliza mwaka wa tatu huwa anatembea na wanawake/wanaume...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kabla ujamtongoza mwanamke yeyote jiweke vizuri, vaa vizuri, Nywele ziwe kwenye mwenekani mzuri, uwe na tabasabu pindi ukianza kuongea naye. Mwangalie usoni, hii itamuonyesha unajiamini na upo...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Madomozege wapo wengi kila sehemu, kama hapa MMU ndio usiseme! Yaani, wanaume tumebaki wachache tunaoweza kuwakabili akina dada uso kwa uso na kuwapiga sound (kuwatongoza). Soma 2 Samweli 13: 1 -...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
Kuna demu mmoja kamsindikiza mume wake kwenda saluni kunyoa nywele. Katika hiyo saluni ya 'classic', njemba alihudumiwa na binti anayefanya kazi kwenye saluni hiyo, huku demu wake akiwa ameketi...
1 Reactions
89 Replies
12K Views
Am 30 old. I loved to persue my dreams in formal education untill recently nilipokosa cash to pay for studies. Nipo kitaa nasaka noti japo sometimes nasota bure, lakini ninamalengo thabiti. Now am...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Mambo vp kuna binti mmoja nimejuana nae tu chuoni kivilee lakini cha kushangaza naona ananipima imani sijui anamanisha nn kila wakati tukiwa nae ananiambia anampenda sana mtu flani hadi anashindwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nakshi ulipo dear nikama umepoke myoni mwangu. Najua you know it best
0 Reactions
46 Replies
4K Views
True story: kuna mshkaji Mmalaysia alimuaga mkewe anaenda China. Mkewe akamsindikiza hadi airport, kumbe jamaa kaingia na kutoka kisha akazama kwa mchepuko. Sasa jamaa amenasa kwenye apartment...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni miezi takribani 2 sasa sijaskia sauti ya mpenzi wangu huyu, mara ya mwisho nawasiliana nae nilihoji mwenendo wake lakini alinipa ahadi nyingi sana kiasi kwamba nikahis kichwa kipo hiv :A S...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Siku ya leo nmealikwa kwenda kutatua ugomvi wa watu wapendanao sasa kwa kweli naona kama vile shida tu jamaa rafiki yangu anamwanamke ambaye ndio mke mtarajiwa amejifungua mtoto wa kike cha...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwenyeji wa mkoa wa shinyanga muda wa kuoa naona umekaribia nikiwa masomoni nilimpata mchumba binti wa kichaga ana degree lakini nyumbani wanataka nioe kwetu...
2 Reactions
155 Replies
15K Views
(sharing is always beautiful) nimemnukuu mhudumu wa gesti moja Dodoma (gazeti la mwananchi). "Short time inalipa kwa sababu haichukui hata dakika kumi wanatoka". Nimewaza sana kuhusu ufanisi...
1 Reactions
40 Replies
8K Views
1.Nguo 2.cosmetics 3.kwao Kwa wale ndugu zangu mnaooa mtu si kwa sababu ya kumpenda bali kazi yake mtaishia kufa kwa presha na kufunja ndoa, wanawake pesa yao ina macho. Nawambia nyie wanaume...
4 Reactions
95 Replies
9K Views
Kuna wanaume wana haka kamchezo kwa kufanyia ngono kwenye magari yao , hawa ni wachepukaji lakini ni ushenzi mtupu kufanyia hicho kitendo ndani ya gari yako !unaitia nuksi si vizuri mbona zipo...
1 Reactions
155 Replies
14K Views
Wana - JF nawasalimu sana! Mwenzenu nina mtihani! Hapa ofini kwangu ni na bidada mmoja (ni mrembo wa haja tu, anatoka ule mkoa karibu na Dodoma na wadada wa mkoa huo wana ile sifa kama ya ule...
1 Reactions
130 Replies
12K Views
Back
Top Bottom