Tangu mke wangu anizalie mtoto imetokea kumpenda zaidi na sijawahi data kwa kiasi hiki,hivi na nyie wadada mtu akikupa mimba na mkawa na mtoto upendo unaongezeka?
ALEX KAYOMBO, LUSAJO MWANGASA, hawa nlisoma nao Kibo Secondary pale Moshi 1997 Enzi hizo shule ikiwa pale katikati ya mjini wa Moshi kama wakiona uzi huu tafathali waniPM Alex kipindi hicho alikua...
Namsteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi kwanini wanaume mnakuwa WAKALI and SO BITTER, BEYOND BITTER in sme circumstances pale mkeo kwa wema kabisaa na nia nzuri tu kwa famlia...
Wasalaam ndugu wana MMU
Naomba kujua jinsi talaka ilivyo maana naisikia tu..ni kitu gani jamani ni kadi? ama maandishi tu yanaandikwa? inauzwa? na maneno yanayoandikwa kwenye talaka ni yapi...
Elimu za unyago na jando zimekufa ndio maana vijana wengi hata hawana ufahamu na elimu ya mapenzi, uzazi na kijitambua.
Sehemu pekee ambapo limekuwa ni kimbilio la vijana na changamoto zao ni MMU...
BORA KAMPATA WAKE
Niseme sikumpenda,nilimwacha makusudi,
Mwenzangu alinipenda,kwangu alipiga
hodi,
Mwishoni nikamtenda,leo yupo na hemedi,
Bora umepata wako,mpendane mkadumu.
Alinifundisha...
Mke wa Boss wangu ndio meneja wangu sehemu ninayofanyia kazi. Nimefanya kazi hii kwa muda sasa na nimekuwa nikimconfront meneja wangu for promotion since last year. (kupandishwa cheo na mshahara)...
Ngoja nikupe kisa kimoja cha kweli. Mmoja wa rafiki wa Facebook alikutana na Account moja ya msichana Mrembo sana bila kujua akamtumia Friend Requesti jamaa yangu akiwa na furaha ya kujibiwa...
WanaJF kuna tuhuma nyingi kuwa hawa wadada wasomi ndani ya ndoa ni tatizo yani ni wajuaji,wana viburi na ujeuri kiasi cha kufanya waume zao kujuta mda wote ndani ya ndoa.
Nasikia pia hawana...
Habari za leo wana Jf! Poleni na Mihangaiko ya kila siku.
Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu ni miaka 26 mrefu futi 5:6 Naishi dsm, Shida yangu ni kwamba natamani sana na mimi kupata...
Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili.
Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye...
Wanaona kuwa kwenye mahusiano au kuolewa ndio job apportunity. 99% ya wadada zetu ambao wamemaliza elimu za shahada mbalimbali wanatafuta mabwana badala ya kutafuta kazi au kitu chochote cha...
Jamani tuongee ukweli,kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati.Penzi la muda mfupi au la sku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda haihitaji...
Wakuu naomba ushauri , mimi naishi kwenye nyumba ya kupanga na mama mwenye nyumba mwenye mtoto mmoja wa kike , nimepanga chumba ambacho pembeni kuna chumba cha huyu mtoto wa kike wa mama mwenye...
Habari zenu wanajamvi,
Nina rafiki yangu ambaye nimesoma nae chuo kimoja na kozi moja jijini Arusha.Huyu rafiki yangu alikua na girlfriend wake mzaliwa wa Arusha ambaye amedumu nae kwenye...
Asilimia Kubwa Katika Mahusiano , Pindi Mwanaume Anapoamua Kuvunja Mahusiano, Wanawake Huwa Wanalaumu Sana....Kuwa Wamechezewa!
Hizi kauli Hutolewa Hasa Kama Mtakuwa Mshawahi Kusex
Je...
Yapata saa mbili asubuhi ya leo ndipo niliweza kwenda. Watu bwana nmekimbia kuanzia kuanzia moshono mpaka kijenge nakapita keepreft nikanyoosha mpaka njiro. Ha ha haaa. Chezea mie ww - mtot mkali...
Wadau katika pitapita yangu humu jukwaani nimekutana na comment ya mwanajf almaaruf km Kibirizi.
Anacomment kuwa mwanamke hawezi kuwa na furaha hadi atakapoolewa, na furaha yake huanza siku...
Natafuta rafiki mme aumke wa kuchat nae mdawowote.kuchangia mawazo,kujadiri mada mbalimbali zihusuzo maisha. karibuni sana marafiki zangu. ukalimu kwetu ni asiri yetu. idumu africa idumu tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.