Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natafuta rafiki mme aumke wa kuchat nae mdawowote.kuchangia mawazo,kujadiri mada mbalimbali zihusuzo maisha. karibuni sana marafiki zangu. ukalimu kwetu ni asiri yetu. idumu africa idumu tanzania...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kazi imekuwa ya kuchosha nahitaji kupumzisha akili so natumaini ladies tu ndo watacoment, na kama kweli upo serious ncheki tumeet twendzetu, mimi young tu 26 miaka tall white and smart hivi, yeah...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hi
Utafiti umebaini kuwa wakristo tunahiari kusafiri na SIMU kuliko BIBLIA!!, Tunaona bora kusoma SMS kuliko neno la MUNGU,...inakuwaje ununue SIMU ya elfu 50 ushindwe kununua BIBLIA ya elfu 10...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
jamani kilacku nasikia sugarmamy..je huyu sugarmamy ninani?anawez kuolew na mm?mm nina ngomb anaweza kuolew n mm?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna muda huwa nakaa nakufikiria kama kila mtu angekua mimi ingekuaje? 1. Nimejijengea heshima mtaa ninao kaa kwa kutokua na historia chafu ya kutokua na uhusiano na mabinti wa watu. 2...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna tatizo nimeukwaa naombeni ushauri wenu kwani niko njia panda nilijiunga chuo mwezi januaru lknh huko nilikutana na binti mmoja mrembo sana tulibadilishana nae mawazo na namba za simu kila...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanawake wa siku hizi ni 1.wabishi 2.Malaya 3.wajuaji 4.wana wivu 5.hawajui mapenzi 6.wanapenda vya gharama 7.wavivu 8.wakorofi Kwa kweli nikimuona mtu anaoa namuonea huruma sana Wanawake...
9 Reactions
266 Replies
20K Views
Hili swali nimemuuliza mama mmoja Uswahilini kwetu, kanijibu mwanawe wa kike yuko darasa la sita lakini kwa mbinu zake za kisichana kaweza kumnunulia mama yake simu ya Blackberry. Wakati ana mtoto...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu wana jf naomba msaada jinsi ya kujizuia kupizi mapema. kiukwel sijawahi piga punyoto toka mwaka jana 2013 january nifanye mapenzi had mwez huu nilipofanya mapenzi na mchumba angu hii wiki ya...
0 Reactions
71 Replies
19K Views
Swali kwa Wanawake tu. Je Mwanaume yupi mwenye mapenzi ya dhati kati ya Hawa wa 2. Mwanaume ambaye yupo tayari kukuhonga kila kitu alichokuwa nacho na yeye kubaki fukara kabisa huku...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
mimi n kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 22 nahtaj mama mtu mzima tuwe katika mahusiano. Kama uko interested ni pm
0 Reactions
28 Replies
5K Views
habari, mm nimeanza kufanya mapenzi, nikiwa na miaka takribani 23. kila mwnamke niliyewahi kumpitia amekuwa akiniganda na kupenda kuendelea kufanya mapenzi na mm hata baada ya kolewa. nina...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
habari, mm nimeanza kufanya mapenzi, nikiwa na miaka takribani 23. kila mwnamke niliyewahi kumpitia amekuwa akiniganda na kupenda kuendelea kufanya mapenzi na mm hata baada ya kolewa. nina...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Hili ni jina la filamu ya kihindi iliyotoka miaka ya mwanzoni ya 1980 ikimhusisha mtaalamu Amitha Bachan.Kwenye filamu hii Amitha anahukumiwa kwa kosa la mauaji..kiukweli hakufanya kosa hilo ila...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Eti wadau wa jf mimba iko bao la ngapi?
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Haloo wa JF, Nina rafiki yangu ana gf wake, huyu mdada mie nashindwa kumwelewa kabisa. kipindi wanaanzana mimi nlichangia kwa kiasi kikubwa kufanikisha zoezi zima la kuwaunganisha na baada ya...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Je wewe ni binti/kijana/mjane/mgane na unahitaji mwenza wa maisha? Wasiliana nasi kupitia 0688647484 tuakuunganisha na mtu mwenye sifa unaohitaji. Tuma SMS ukieleza UMRI, UNAPOISHI & DINI kwenda...
1 Reactions
63 Replies
5K Views
Nawasihi madada kuacha tabia ya kuchuna wanaume kwani maisha yamekuwa magumu watu wote ktk jamii wanapaswa kuzalisha pasipo kujali jinsia ugoli kipa ulikuwa zamani
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jf. Leo nimeona ni share na nyie mambo mabaya yaliyonitokea maishani mwangu. Miaka mitatu iliyopita niligraduate elimu yangu ya chuo na baada ya kukaa miez kadhaa nyumbani...
2 Reactions
95 Replies
8K Views
WADADA TUSAHAU KUHUSU HUYU KAKA WA KWETU PAZURI, KATANGAZA MCHUMBA TAYARI Kwa wale wadada Tuliokuwa tukisugua magoti kwa Mungu kupata kibali cha kuolewa na mwanakaka nyota wa kwaya ya...
4 Reactions
87 Replies
22K Views
Back
Top Bottom