Katika hali ya kawaida mtu huweza kushangaa hoja hii. Ukweli ni kuwa watu wengi wanafikiri wakioa au kuolewa na watu wanaowapenda sana maisha huwa ya furaha sana lakini wengi wamekuwa wakilazimika...
Siku moja, baba tajirialienda na mtoto wake safari. Alitaka kumuonyesha ni jinsi gani mtu anawezakuwa masikini sana wa mali. Walifikia shamba moja la familia ya kimasikini. Safarinikurudi...
Usiombe ukakutana na mtu wa aina hii utayachukia mapenzi. . . . . Nakumbuka ilikua mwaka 1999 nilipokutana na bimti wa aina hii,ilinichukua miaka miwili kumuweka sawa. . . . . Yaani kila...
Inavyosemekana wanaume wengi hususani tunaokaribia umri wa kuoa tunakuwa na kipaumbele cha mtoto wa kiume*
hali suala la mwendelezo wa vizazi katika ulimwengu unamhusisha mwanamke moja kwa moja...
Picha hii haihusiani na habari hii
Hivi inakuwaje?
Baadhi ya wanawake wanapowafanyia waume au wapenzi wao jambo zuri, hufanya hivyo huku wakihesabu na kutarajia wapenzi hao waone, watambue na...
Wana jamii yamenkuta mie , nna msichana ambaye nimezaa nae na tunaishi pamoja , mwezi dec ndo nimelipa mahari ili ndoa iwe mei mwaka huu , lakini mambo yangu yameenda mrama kila nifanyalo pesa...
KUWA wazi kwa mwenzi wako ni mojawapo ya mambo ya msingi sana katika kuimarisha uhusiano. Kilicho cha msingi ni kuwa makini na namna ambavyo unazungumza na mwenzi wako.
Wakati mwingine kama...
Yalikuwa maneno ya kipenzi changu kuanzia 1990 hadi 2004, vitoto vinakua , tukaona tutafute mbadala wa kipato badala ya kutegemea kamshahara kangu tu.tukaanzisha biashara, na...
Ni busara na hekima kwa mke wako kukuzuia nanukuhu SITAKI KUFUATILIANA KWENYE SIMU HUYU NANI? JINA LA NANI? NAONGEA NA NANI? Je ni sawa hi? ni wajibu wa nani kujuwa? nipeni mawazo yenu wakuu...
Wanabodi.
Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Kitengo cha Tiba Asilia kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Paulo Mhame amesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume.
Alisema pamoja na tatizo...
Nyumba ndogo mwanzoni tamu kweli.........Ikiolewa utamu wote unakwisha
(Picha haihusiana na habari hii)
Bila shaka mmeshawahi kusikia wanawake walioachwa au kutelekezwa na waume zao wakidai...
#Majanga
Mwanamke, nakuita mwanamke wewe ni kipofuuu? Usiniambie siyo mimi sijakuita jina lako nimeita umbile lako wewe mwanamke ni kipofu? Simaanishi upofu wa macho, mwanamke unaona vizuri...
Mwanamke mmoja amefia gest mkoan singida..chini ya kitanda imekutwa mipira saba imetumika..na mipira minne haijatumika chini ya mto..mwanaume aliekua nae ametoweka
source:clouds habar nilikua...
Hi! Wanajf....mimi ni mwanaume namiaka 26, nimeshangazwa sana na tabia ya mpenzi wangu wa sasa. Eti yeye anadai huwa hapendi kungonoana mchana afu usiku anataka tuzime taa....jamani naitaji msaada...
Stella Aron na Mohamed Hamad
SERIKALI imeombwa kuangalia kwa upana suala la mchakato wa uandaaji wa katiba mpya kwa kuweka kifungu kitakachowasaidia mashoga kuondokana na adha na kero ya...
KUNA baadhi ya watu husema kuwa hawapendi ndoa kwa madai kwamba hazina dili. Je wewe unasemaje?
Kwa mtazamo wangu ndoa ni muhimu pamoja na ukweli kuwa baadhi ya ndoa zina matatizo, lakini bado...
1. Je, kuna mtu anapenda kutumiwa au kuwa chaguo la pili? 2. Je, ananipenda mimi na familia yangu? 3. Yupo tayari kuwa na mimi wakati wa shida (kuumwa au kufulia)? 4. Je, anaweza kunisaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.