Kabla ya kuanzisha nyumba ndogo jiulize haya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabla ya kuanzisha nyumba ndogo jiulize haya...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bra-joe, May 30, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  1. Je, kuna mtu anapenda kutumiwa au kuwa chaguo la pili? 2. Je, ananipenda mimi na familia yangu? 3. Yupo tayari kuwa na mimi wakati wa shida (kuumwa au kufulia)? 4. Je, anaweza kunisaidia kiuchumi bila manyanyaso? 5. Je, anapenda udumu ktk ndoa yako? Kama majibu yako yote ni ndiyo, hapo ruksa kuwa na nyumba ndog, lkn kumbuka, ukifanya mambo kumi ktk familia yako, nyumba ndogo fanya moja. Yaani 1/10. Ndiyo uwiano ya familia yako na nyumba ndogo.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unachekesha.

  Yani umfanye mtu nyumba ndogo na bado utake ajali sijui familia yako na vijishida vyakk. . .ili iweje.? Na mkeo kazi yake nini?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  pitia guideline zitakusaidia.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,217
  Trophy Points: 280
  unachekesha,
  maswali yote hayo nyumba ndogo hayamuhusu....
  Wewe unafuata utamu, yeye anafuatz pesa, baada ya hapo unaenda kwa mkeo yeye anaenda kwa boifrendi wake.
   
 5. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hiyo nyumba unayoiita kubwa ilipitia hayohayo ya nyumba ndogo. Unapoamuwa kuwa na nyumba ni nyumba hakuna ndogo wala kubwa. Hujawasikia wenewe wakisema kuwa "Watabanana hapo hapo"?
   
 6. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyumba ndogo ni matatizo sana, hata kama hutaona mapema lakini baadae utagundua tu.
   
 7. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  maswali yote ya nn, huna uwezo wa kumiliki nyumba ndogo PIGA CHINI!
   
 8. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Brother hawa nyumba ndogo ni washenzi na hawana shukrani kabisa. Mimi nilikuwa na moja nimeipiga chini, hata uwape nini lazima atalabwa na watu wengine tu. Washenzi kabisa
   
 9. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Ha ha ha! Mkuu, wewe mwenyewe ulikuwa unalabua nje ya ndoa yako . . . kwanini na yeye asilabuliwe pia? "Anayetaka kula sharti aliwe"

  Mimi binafsi bado sijaoa lakini nikifanya hivyo siwezi kutafuta nyumba ndogo/cheat cos:

  1. Nitaumia sana pale nitakapogundua analabuliwa huko nje (ambayo ni 100% ina uwezekano w kutokea)
  2. Nitaumia pia ntakapojua na wife naye analabuliwa/nyumba ndogo nje so "why do something to someone ambacho ww hutaki kufanyiwa"
  3. Sitakuwa na muda wa ku-entertain nyumba zote mbili, ukijumlisha na watoto juu

  My take: Katika maisha yangu hata niwe na girlfriend siwezi kum-cheat, sembuse mke kabisa? Kwenye ndoa ukishaona yanakushinda ni bora "uachie ngazi" kuliko kuanza kutafuta nyumba ndogo cos sio solution (Naaminii hivyo na dnio msimamo wangu)
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  document kwanza mzigo baaadae..kauli mbiu ya mamlaka ya bandari
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nyumba ndogo haitakiwa, Full stop.
   
 12. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ceekay, subiri ukishakuwa kwenye ndoa miaka 2 utakujua............... wala hatuhitaji uje kutuambia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Fixed Point unajua maisha ni maamuzi mf: kumuona huyu na sio yule. Kusema ndoa ndoana sio kweli, kuna wanaume hawana nyumba ndogo na wako VERY happy believe me. Kaka yangu yuko karibu sana na mm (na nakwambia hili kwa uhakika) hana nyumba ndogo!

  1. Kwanini uingie kwenye ndoa wakati unajua huyo hakufai? Siku hizi mambo ya kulazimishana hayapo kabisa (Kama yapo ni kidogo sana)
  2. Kwanini uendelee na mtu wakati umemchoka? Kwani huwezi kumkanya? Nenda kwa wazazi wake, ikishindikana kwani nini, mimi nachapa mwendo then watoto tulee kwa remote!
  3. Niliambiwa na huyo msichana (niliyesema ni rafiki yangu hapo juu) kuwa "Mwanaume anaweza akamuona tu mwanamke akaamua ku-cheat but ukiona MWANAMKE ana-cheat kuna kitu flani hivi kakosa kwa mme/boyfriend wake". Je hii sentensi ni kweli au uongo?

  Nikajifunza kuwa "Always mke/girlfriend wako awe rafiki yako" ili awe muwazi kwako nawe pia hivyo hivyo!:)
   
 14. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ceekay nakubaliana na wewe kwa mengi uliyosema, nilikuambia vile siyo sababu najua kila aliyeoa ana nyumba ndogo, la........... nilikuwa namaanisha subiri ukishaoa na kukaa katika ndoa miaka kama 2 hivi ndo utajua kama utakuwa na nyumba ndogo au la.
  ujue kuwa, siyo kila mkaka /mdada aliyekuwa na mahusiano nje ya ndoa kafanya hivyo sababu alidhamiria kabla hajaoa/olewa kuwa atakuwa na mahusiano nje. mahusiano mengine yametokea sababu ya mambo ambayo yamesababishwa tayari akiwa ndani ya ndoa. kuna uvumilivu, yes, lakini mambo mengine yanatokea hata ukijiuliza yametokeaje mwenyewe hupati jibu.. kuna mtu(rafiki yangu) siku nilim-bana akaishia kuniambia inawezekana kabisa kuwa amewekewa madawa,i.e. hakuwa kabisa na sababu ya kutoka nje.
  Omba sana Mungu wako akulinde usije ukaingia MAJARIBUNI
   
 15. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  kwa taarifa yako, ktk ndoa au mapenzi kama wewe huruki fensi mwenzako anaruka SANA, kaka yako anagongewa kila leo na hata huyo demu wako nae watu wana mgonga kama kawa, pia kidume ku-cheat ni ishara kwamba yeye ni head ktk familia, kama angekuwa tail angepata wapi uwezo wa ku-cheat? Labda wewe na kaka yako ni ma-TAILS.
   
 16. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kiukweli kuna watu wana fikra potofu....lol
   
 17. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Teh, teh, teh, miye mstaarabu siwezi kukuharibia We na Mkeo but ukumbuke nikipata wangu uniache huru, gari na nyumba, funguo sirudishi, ukitaka ubishi Mkeo na Wakwe zako watajua na vitu sirudishi, lazima nihakikishe vimeandikwa kwa jina langu, ukipata mpya uanze naye upya, sio kumrithisha Salon na gari ulilonipa, utajiju!
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Yaani ww unataka small house iwe na sifa za mke? Kha! Hii sekta ya small house ungewaachia wenyewe!
   
 19. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Ha ha ha! Mkuu acha kutokwa povu! Unamjua kaka yngu ww? Kama mke wako analiwa nje usilazimishe kila mtu demu wake analiwa pia. Yaani ww unaona ku-cheat ndio kuwa HEAD? Haya bana, hongera sana. Ukiwa kwny kitanda unam-do demu wako then akwambie katoka kukamuliwa na jamaa mwingine, utafurahi? Come on! Usijifanye una roho ngumu wakati roho yako nyepesiiiii kama karatasi! Ukweli pekee ndio utakuweka huru!
   
 20. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Kwanini watu tunapenda kutafuta mchawi? Hakuna mchawi/shetani mwenye influence kubwa kama "our own thoughts". Wachawi ni sisi wenyewe. Sijasema kuwa mwenzangu hata-cheat, NO! but kwanini umpe idea kuwa utamsamehe pindi atakapo-cheat wakati ni mapema sana? Mambo tunayoongea tukiwa marafiki ndio hayo hayo yanatumika kum-judge mwenzio baadaye kwny ndoa (my believe) so why say "Mimi LABDA nitakuwa na nyumba ndogo". Possibility hiyo ndio itakufanya ufanye hayo au mwenzio aku-cheat cos milishaweka hiyo azma tangu mwanzo!
   
Loading...