Zima taa!...mwenzio naona aibu!

Rasib

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
395
45
Hi! Wanajf....mimi ni mwanaume namiaka 26, nimeshangazwa sana na tabia ya mpenzi wangu wa sasa. Eti yeye anadai huwa hapendi kungonoana mchana afu usiku anataka tuzime taa....jamani naitaji msaada wa haraka wadau, maana raha ya sita kwa sita ni mwanga, kuujua mwili wa mpenzi wako na kuutomasa huku ukimwangalia direct machoni...plz help me..
 
Kwa mtindo huo wa kubadilisha badilisha kila siku huna budi kukuta vioja vya kila aina. Inawezekanaana kitu kimaumbile kinamsumbuwa au kazoelea hivyo. Wewe kuwa na subira nae bila ya kumfanyia papara hadi akuzoee na akuamini. Ukifanya papara utamrusha ndege huyo kabla ya kupata wasaa wa kumuona kila kitu ili utosheke na kutafuta mwengine.
 
Asante mkuu, ila 2nazaidi ya miez miwili sasa na tumeshakutana 0 dstance mara nyngi sana, sijui ndo tatizo la kudumu? Basi nkikataa kuzima naye ananinyima huduma..
 
Hi! Wanajf....mimi ni mwanaume namiaka 26, nimeshangazwa sana na tabia ya mpenzi wangu wa sasa. Eti yeye anadai huwa hapendi kungonoana mchana afu usiku anataka tuzime taa....jamani naitaji msaada wa haraka wadau, maana raha ya sita kwa sita ni mwanga, kuujua mwili wa mpenzi wako na kuutomasa huku ukimwangalia direct machoni...plz help me..

chakula gizani? utakujatafuna konokono!
 
Nishauri mkuu!...maana ndo yamenikuta mwenzako
 
Asante mkuu, ila 2nazaidi ya miez miwili sasa na tumeshakutana 0 dstance mara nyngi sana, sijui ndo tatizo la kudumu? Basi nkikataa kuzima naye ananinyima huduma..

Hili jukwaa kwangu ni mara chache sana kuingia.

Mtazamo wangu wa haraka haraka ni kwamba labda ni mdogo kiumri,ama ana kasoro fulani mwili wake na inaweza ikawa ni kutojiamini kwake tu ndio tabu kubwa!

Na ndipo nafikia usemi huu toka kwa Wahenga: "SUBIRA HUVUTA KHERI"
 
Mjengee confidence wewe.
Mwambie jinsi gani unapends ngozi yake, jinsi gani unapenda mwili wake, na jinsi gani vinakuhamasisha!

Mwisho wa siku atakuachia na believe anaweza hata akaja kukupa torch uwe unamchungulia kwenye kishimo chake!
 
Khaaa.........!
 
umegonga ikulu!akiufanyia kazi ushauri wako tatizo kwishney!
 
hicho kibwego tu, labda kina makovu ya mkanda wa jeshi na magonjwa mengine au hata ****
 
Hi! Wanajf....mimi ni mwanaume namiaka 26, nimeshangazwa sana na tabia ya mpenzi wangu wa sasa. Eti yeye anadai huwa hapendi kungonoana mchana afu usiku anataka tuzime taa....jamani naitaji msaada wa haraka wadau, maana raha ya sita kwa sita ni mwanga, kuujua mwili wa mpenzi wako na kuutomasa huku ukimwangalia direct machoni...plz help me..

kama ni mpenzi wako kweli na ana mapenzi ya kweli hawezi fanya hivyo ila unatakiwa kuwa makini sana huwezi jua anaficha kitu gani, mlishapima afya zenu?au ndiyo ile eat n run
 
isije kuwa ana madonda donda sehemu zake..ukaishia kupata ma fungusi ya hatari

Inaweza pia kuwa ni mali ya watu wameipiga chata(tatoo's) karibu na sehemu nyeti sasa kwenye mwanga si mshikaji anaweza kuona ikawa soo!!
 
Mjengee confidence wewe.
Mwambie jinsi gani unapends ngozi yake, jinsi gani unapenda mwili wake, na jinsi gani vinakuhamasisha!

Mwisho wa siku atakuachia na believe anaweza hata akaja kukupa torch uwe unamchungulia kwenye kishimo chake!
Ama kweli utu uzima dawa, sasa hahitaji mawazo mengine tena
 
Back
Top Bottom