Mwambie ukweli mwenzako, muimarishe uhusiano wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwambie ukweli mwenzako, muimarishe uhusiano wenu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sulphadoxine, Jun 14, 2012.

 1. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  KUWA wazi kwa mwenzi wako ni mojawapo ya mambo ya msingi sana katika kuimarisha uhusiano. Kilicho cha msingi ni kuwa makini na namna ambavyo unazungumza na mwenzi wako.

  Wakati mwingine kama unashindwa kujua namna ya kuzungumza, mnaweza kujikuta mnaanisha ugomvi badala ya kuelewana.

  Ni kwamba wapenzi wanapaswa kusomana na kujuana kwa kina kwamba mwenzangu ana tabia gani na nini nifanye tuweze kwenda vizuri.
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kuna andiko moja katika kitabu kitakatifu linasema: "Ninyi waume kaeni na wake zenu kwa akili" (1Petro 3:7)
   
 3. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Do u think everyone is capable of telling or kupokea the truth kama ulivyo?
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ayaa mambo ni magumu sana!
   
 5. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  uwazi unategemea nikitu gani lakini wengi wamekuwa wawazi matokeo yake kama unafanya mambo yasiyo mazuri siku mkikorofisha siri zote zitafumuliwa na utakuwa mtupu. sikila kitu mwenzio ajue
   
 6. Sashel

  Sashel JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  You're very right!..na si tu kuzitoa nje siri bali hata kukukumbushia mambo uliyofanya pindi mkikosana. Ni heri umsome mwenzio na kuelewa lipi la kumwambia na lipi ukae nalo mwenyewe- wanadamu hubadilika hata kama ni mme/mke wako huwezijua for certain mtazamo na hisia zake, waweza sema jambo likaharibu uhusiano wenu.
   
 7. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakuunga mkono, ukweli ndio silaha tosha katika mahusiano hivyo tusiwe watu wa kuficha mambo mbele ya wapenzi wetu.
   
 8. MankaM

  MankaM JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2014
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 9,493
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  abia nyingne bana hazisomeki aiseeee
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2014
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ukweli ni nini? Kweli zingine ni chungu mno. Imagine unamwambia mmeo 'isostacy theory' haikukutendea haki? Utakula vibao au ununiwe mwaka
   
 10. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2014
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,111
  Likes Received: 31,974
  Trophy Points: 280
  Mwingine jana kaambiwa na mpenzi wake kuwa alishatoa mimba tano
  kapanic anataka kuahirisha ndoa, mtu wa hivi ni kumdanganya January to December...
   
 11. thinky

  thinky JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2014
  Joined: Jan 13, 2014
  Messages: 2,132
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  unajua maanake
   
 12. a

  ashuu6 Senior Member

  #12
  May 15, 2014
  Joined: May 10, 2014
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa ni kudanganya tu!!
   
 13. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2014
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,111
  Likes Received: 31,974
  Trophy Points: 280
  Itabidi kusema ukweli au kudanganya itegemee na mtu ulienae
  kama ana kifua chepesi hakuna haja ya kumwambia ukweli
   
Loading...