Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Moja wapo ni hili, Mimi nilifikiri kwamba wanawake wakimya, watulivu ndio waaminifu kuliko wanawake waongeaji, wacheshi na crazy lady kumbe siyo kabisa. Kweli usihukumu kitabu kwa cover lake...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Habari wanajamvi? Nimekuwa nikisikia/kuona baadhi ya wanandoa ndani ya ndoa kuchepuka kwa ajiri ya kutafuta mtoto wamtakae baada ya kuzaa watoto wa aina ya jinsia moja (wakiume tu/wakike tu)...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nchini Uingereza watafiti wa kusaidia kuinua maziwa ya akina mama yaliyolala wamefanikiwa kufanya plastic surgery na kuyafanya maziwa hata ya mzee wa miaka zaidi ya hamsini yasimame wima bila...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Nina kaka wa damu ughaibuni ila amenitenga na hivyo hatuna mawasiliano mazuri kwa mda sasa.Huyu Jamaa wakati Maza alifariki tulijadiliana aende ughaibuni kwa kuchukua fedha alizoacha marehemu mama...
1 Reactions
132 Replies
11K Views
Hi? Naitwa Gabu (25). natafuta mchumba kutoka popote Tanzania, awe na umri katiya 18-22. dini rangi/kabila cyo hoja +2557652388779 NB; USI BEEP AU KUTANIA!!
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Niko mda sasa kwenye ndoa iliyobarikiwa kwa neema zote kikubwa watoto. Ingawa kuna wakati mwingine napotoka kidogo ila upendo na heshima kwa mke wangu haujawai kupungua. Mambo yalianza...
0 Reactions
68 Replies
5K Views
Me ni kijana mwenye miaka 26 nipo Dar es Salaam, naomba kuuliza pia mtu mwenye upeo mkubwa anisaidie kunishauri. Nina msichana nimeishi naye mda wa mwaka 1, mimi nafanya kazi naondoka asubuhi...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wana JF! Jamani tuweni makini UKIMWI upo na hauchagui mtu,hivyo tunapaswa kuchukua tahadhari kubwa. Najua kuna watu wanachukulia UKIMWI kama ugonjwa wa kawaida ila kiukweli sio wa kawaida...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Hii naona inatokea sana kwa wanaume unamtogoza mwanamke akikubali fasta unaanza kuwa na wasiwasi na fikra potofu hooh huyu kicheche.hooh ntapigwa mizinga. Ukitongoza ukizungushwa napo lawama...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu? naomba kuuliza hivi kwa nini mwanamke akimtongoza mwanaume jamii inayomzunguka humchukulia vibaya?
0 Reactions
129 Replies
12K Views
JAMANI NIFANYEJEE MWENZENI NIMEGUNDUA MCHUMBA AANGU ALISHATOA MIMBA TANO-FULL USHAHIDI,NIMESHAJITAMBULISHA KWAO MWEZI UJAO MAHARI.#nahisi bora nitekwe na boko harama#
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Hiki kitu knasumbua xana akili yangu wakubwa naomba munipe ushauri nn nifanye. Siku moja alikuja rafiki angu na mwanamke akanitambulsha kuwa huyu ni mpnz wangu pasipo kujua yule mwanamke...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mvuto huna Pesa huna Kuvaa hujui Sura mbaya kama unachungulia choo Afu unalalia kupendwa wakati wewe mwenyewe hujipendi Angalia mapungufu yako Wapi umekosea then uanze kulalamika
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Tunaposema mtu anajiuza tunamaanisha nani kati ya hawa. 1. CSW= Commercial sex workers 2. WETS= Woman engaging in transactional sex works.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, Katika pita pita zangu nimegundua kuwa wanawake wenye elimu angalau kuanzia certificate,diploma,first degree na kuendelea ni rahisi sana kuwatongoza ukilinganisha na...
2 Reactions
187 Replies
20K Views
Nilimpenda sana kiukweli, na bado huwa siamini kama its over! Lakini kitendo cha kunipa kadi tena ya muwaliko...kimeniumiza sana, istoshe tulitofautiana tu mambo madogo ingawa mimi ndo chanzo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Heri
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari ya mchana wana MMU na JF kwa ujumla, mimi sijambo kabisa na imani yangu kwenu ni kuwa hamjambo na kama kuna mgonjwa basi namuombea heri. Juzi nimekutana na kisa kimoja, mkwe wa mke ni...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana jamvi leo niko pande za wanaume jamani nasema jamani. Kama hatutofanya mazoezi na kupunguza vitambi ili kuondoa mafuta mengi ktk miili yetu heshima ndani ya ndoa zetu zitaisha kabisa na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom