MWANAMKE afia Nyumba ya wagen Singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MWANAMKE afia Nyumba ya wagen Singida

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Adharusi, Jun 14, 2012.

 1. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,010
  Trophy Points: 280
  Mwanamke mmoja amefia gest mkoan singida..chini ya kitanda imekutwa mipira saba imetumika..na mipira minne haijatumika chini ya mto..mwanaume aliekua nae ametoweka
  source:clouds habar nilikua katika daladala..asubuhi
  Vox populi,Vox dei
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Angalau alikuwa anaijari afya yake kwa kutumia condom.
  RIP dada yetu jamaa alikupania usikute ulimzungusha sana nawe
   
 3. MankaM

  MankaM JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2014
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 9,493
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  mmmmmmmhhhhhhhh hapana chezea dozi loooo lakin siku hizi wanaume ndio wanakufa
   
Loading...