Wanaume wengi nchini hawana nguvu za kiume

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,892
32,308
Wanabodi.

Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Kitengo cha Tiba Asilia kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Paulo Mhame amesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume.

Alisema pamoja na tatizo hilo kuwa kubwa, cha ajabu serikali bado haijakubali kutumia pesa kufanya utafiti wa kuandaa dawa ya kisasa ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume...watu wengi wanamiminika kwa waganga wa asili kusaka dawa alisema.

Mpaka sasa waganga wa jadi zaidi ya 1,000 wamejiandikisha nchini kwa wanatoa dawa za kutibu upungufu wa nguvu za kiume,
 
heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi
 
Kwel! Uktaka kujua hlo,weka 2 leo tangazo la kuwa unauza dawa za nguvu za kiume ..utaona wa2 wanavyokuja kwa wngi
 
Wanabodi.

Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Kitengo cha Tiba Asilia kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Paulo Mhame amesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume.

Alisema pamoja na tatizo hilo kuwa kubwa, cha ajabu serikali bado haijakubali kutumia pesa kufanya utafiti wa kuandaa dawa ya kisasa ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume...watu wengi wanamiminika kwa waganga wa asili kusaka dawa alisema.

Mpaka sasa waganga wa jadi zaidi ya 1,000 wamejiandikisha nchini kwa wanatoa dawa za kutibu upungufu wa nguvu za kiume,
Niliwahi kuweka uzi hapa kuhusu jambo hilo, wanaume wenzangu wakanitolea povu kwa hasira, lakini kwa kuwa aliyesema maneno hayo ni Kaimu Mkurugenzi msaidizi wa Kitengo cha Tiba Asilia kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii naamini mtamuamini ..........

Mkitaka kusoma uzi huo mnaweza kubofya hapa chini:

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/253795-asilimia-52-ya-wanaume-hapa-nchini-siyo-rijali%85%85%85.html
 
heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi

Smile, Wale wa natural bado wapo, siku akiipata mpaka hamu inaisha ni mpaka six..
 
Watu hawajiamini,mwanamme kamili bao la kwanza ni ndani ya dakika 1 hadi tano,sasa watu wamemezeshwa sumu kwamba lazima uende nusu saa bao 1 ukienda chini ya hapo basi una upungufu wa nguvu za kiume,wanaume tujiamini,kama unataka kupiga bao moja kwa nusu saa zipo njia natural(withdrawal) na great foreplay na si kutumia madawa,achaneni na hayo madawa.
 
heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi

Smile.
Ushindwe....
 
Last edited by a moderator:
Watu hawajiamini,mwanamme kamili bao la kwanza ni ndani ya dakika 1 hadi tano,sasa watu wamemezeshwa sumu kwamba lazima uende nusu saa bao 1 ukienda chini ya hapo basi una upungufu wa nguvu za kiume,wanaume tujiamini,kama unataka kupiga bao moja kwa nusu saa zipo njia natural(withdrawal) na great foreplay na si kutumia madawa,achaneni na hayo madawa.

Ebu tupe maujanja mkuu, hiyo ya bao 1 nusu saa.
 
kweli kabisa wanaume wengi hatuna nguvu na inasababishwa na mambo mengi vyakula,ugumu wa maisha na wamawake wenyewe unakuta ofisin mwanmke kajaliwa hips halafu kavaa min ikiinama shida akikaa mbele yako tabu tupu sas wanaume tumeshazoea kuona maumbile ya kike kiholela kwa hiyo kunakuwa hamna cha ajabu hata hisia zinaisha zaman kuona chupi ya mwanamke ni ishu leo hii majumba chupi zote zinaanikwa sehemu moja hata ukiwa kwenye daladal lazima uone chupi in short macho yamezoea kuona maumbile ya kike ya siri ndio maana wadhungu wananyonyona sana ili kuweka ile kitu stable
 
Huoni hata huyu jamaa anataka kujihakikishia uimara kabla muhusika hajafika...............!

nathan.jpg
 
heri msiwe nazo muache uchangudoa..
hii itakuwa ni natural way ya kupunguza maambukizi mapya ya ukimwi..
ukisimamisha kimoja leo hadi mwakaniii .....safi
Asante Mdada tunakushukuru kwa mchango wako. Tunawaomba na nyie mpunguze hivyo vimini na suruali za kubana makalio, maana ndiyo zinatupeleka huko kwenye ukimwi.
 
Watu hawajiamini,mwanamme kamili bao la kwanza ni ndani ya dakika 1 hadi tano,sasa watu wamemezeshwa sumu kwamba lazima uende nusu saa bao 1 ukienda chini ya hapo basi una upungufu wa nguvu za kiume,wanaume tujiamini,kama unataka kupiga bao moja kwa nusu saa zipo njia natural(withdrawal) na great foreplay na si kutumia madawa,achaneni na hayo madawa.

fafanua king
 
Hili tatizo kweli,hata mimi naona kila mganga anauza dawa ya kiongeza nguvu za kiume ujue inalipa hiyo dawa kwa sababu wengi wana matatizo hayo
 
Akina Profesa Maji marefu wanapiga sana dili kwa kuuza mkuyati.
Hata Faru wetu wanapungua kwa sababu ya nguvu za kiume kupungua
 
Back
Top Bottom