Mimi ni Polisi: "Muiseke wangu Nyamughe
Uliishawahi kukutana na mtu ambaye kuanzia dakika ya kwanza kuongea (hapana, kuonana) ulijiona umeshaoa, umezaa naye watoto na kwa mbali mpo na wajukuu...
At first time ilikuwa crush kwenye wedding ya friend. Ndio mara ya kwanza tunaonana that night urafiki social hall 2 years ago tukacheza music pamoja. then tukaexchange namba na ikaishia hapo...
Waungwana ndani ya JF..
Umri unaenda nahitaji sasa kuoa cz ninakaribia maiaka 30....
Natafuta mke wa kuoa ila awe anafanya kazi "Access Bank" customer care service department!!!!! Kwa wale...
HABARI ZENU WANA JAMVI,
Pia nimpe pole au hongera masai dada kwa shuguli yake pevu ya kuhakikisha mume wake anafanyiwa Kate.re.ro.
Nirudi kwenye mada ni kwamba ukipita maduka mengi ya kariakoo...
Poleni kwa majukumu wana JF
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimtafuta dada yangu katika ukoo bila mafanikio, anaitwa Stella Bosco alimaliza kidato cha nne mwaka 2002, JWTZ 411 kj ruhuwiko secondary...
Wakuu habari zenu, kwa mara ya kwanza napost ndani ya JF
Kuna issue nimekutana nayo and I was shocked to death lol! Wanawake kadhaa walikuwa wakijadiliana jinsi wanaume walivyo pasua kichwa so...
The ladies of the World they look like,
But differ in structure.
And why she?
All have got beauty faces,
Decorated with pink and whitish powder;
As beautiful rose flowers...
Ninahitaji mwenza wa maisha wa muda mwanamke kuanzia July 1st, 2014 hadi june 30th, 2015
Jukumu:
Kuniliwaza
Sifa:
1. Awe na afya njema umri kuanzia miaka 18 to 35.
2. Awe na elimu inayomsaidia...
Huyu dada ni rafiki yangu sana, nilikuwa nafanya nae kazi ofisi moja kabla sijafukuzwa kazi, alikuwa rafiki yangu sanaa kiasi cha yeye kunipa siri zake za ndani sana.
Tatizo ni kwamba bwana...
siku chache zilizopita niliona post ya mdada mmoja hivi anatafuta mchumba na kwakuwa na mie nipo single na ninatafuta mtu wa kuishi nae niliamua kuanza kumfuatilka kwa ku mp na kupeana no za...
Nina rafiki yangu wa kike tunapendana!
Alikuja kwangu, tukaongea mambo mengi na tukafanya ya faragha pia.
Baada ya hapo mdada analazimisha nipumzike yaani nilale usingizi.. Nikamwambia mwenzio...
Habari zenu ........
Habari za w/end?
Natumai nyote mu wazima kama kuna ambae hayupo sawa Mungu ampe afya
Kuna jambo nimekuwa najiuliza sana na una sababu iliyonifanya nijiulize sana
Kuna...
Wakuu heshima Kwenu wote. wakuu nimeleta maada hii kutokana na yaliyomkuta rafiki yangu wa karibu aliyefunga ndoa mwaka 2008 na sasa anateseka nayo baada ya mke kuondoka na kurudi kwao na...
Leo nimekutana na kina dada watatu maeneo ya mwenge, wanasema kenya wamepitisha sheria ya wanaume kuoa wanawake wengi mbona hapa kwetu hawapitishi? nikawauliza kwani tatizo lenu nini? wakasema...
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake...
Natumaini hii nyimbo nitaiperform Live na Ma wife(expected) siku ya wedding yetu. Kwani ni nyimbo ambayo inaweza kuwa ni memorable katika familia yetu na katika maisha yetu. Najua tukiimba hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.