Biashara ya Ngono mwanamke kipofu aliyebobea

Biashara ya Ngono mwanamke kipofu aliyebobea

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
950
Reaction score
1,050
#Majanga

Mwanamke, nakuita mwanamke wewe ni kipofuuu? Usiniambie siyo mimi sijakuita jina lako nimeita umbile lako wewe mwanamke ni kipofu? Simaanishi upofu wa macho, mwanamke unaona vizuri sana ndiyo maana unaenda kujiuza lakini hujijui kama wewe ni kipofu.

Jaman, nimepita mitaa ya Dar muda huu mingi na usafiri wangu binafsi nijionee dunia inakwendaje, nilichokiona dunia imeharibika. Mwanamke nakuhurumia sana, uendekezaji wa umalaya huo na kujiuza je macho yako yanaona hapo baada ya miaka 30-40 mbele utakapokuwa mzee?

Mwanamke unajiuza sasa kwa pesa hata kama unapewa laki moja kwa siku lakini jicho lako linaona baada ya miaka kadhaa uzee utakapokunyemelea?

Hii nchi baada ya miaka 30 na kuendelea itakuwa na matatizo makubwa sana, vifo vitakuwa vya kawaida atakayekuwa amefungua kampuni ya kuzika maiti anaweza kuuza sana nakuwa bilionea. Huyu mwanamke kipofu anyejiuza aliyeboea kwenye biashara ya ngono bila kujua hapo baadaye atakuja kupukutika kama maua. Usiniambie na mwanaume je? Somo la leo linakuhusu wewe mwanamke, mwanaume siku nyingi.

Ninalia sana na niliyoyaona mtaani!
 
Huo umalaya wanafanya peke yao?????

Hii shida ya mtu kuja kuanza kuuliza umenielewa hapo chini? wanaume wana siku yao nimeandika nilio yaona leo. Hata mkipinga hatari iko kwa mwanamke kipofu. Mpakeni na matope
 
Kila mtu ataubeba msalaba wake we fanya yako
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ni umbea umekupeleka huko,, fanya yako kijana pls naomba uweke picha wa wanunuaji..
 
hakika umekosea sana sina maneno mazuri ya kukwambia ila umekosea hujafa hujaumbika kuna siku utayakumbuka haya maneno.
 
wanaoenda kununua ni wanawake wenzao kwani!!!!!!!! au kuuza ndio upofu,kununuaa ndio vizuri Biashara inazidi kushamiri cos kuna wanunuzi
amenikwaza sana huyu kaka si kwa sababu mimi ni mwanamke bali anazungumza vitu ambavyo hajafanyia tafiti anaangalia vitu kirahisi sana
 
hakika umekosea sana sina maneno mazuri ya kukwambia ila umekosea hujafa hujaumbika kuna siku utayakumbuka haya maneno.

Kuna sehemu imetukana? nimeongea uongo? anayejiuza huko mtaani ni mwanaume? Acha jaziba kama upo kwenye huo upofu pole sana kifo kibaya sana
 
Chanzo gani mwanamke atasema mabadiliko zaidi ya kutuleteya hatari ya kuishi? Ww angalia anatoka ku tigo na huyu tena anampelekeA tigo mwingine sasa utasema huyo anona? Na hao wanaume wa kununuwa ndio wale wakiwauza wake zao na wanaume wapo kwenye denda anapanik na kuchukuwa faini na wanaendelea na maisha yao ya kuchangia kisa amezoweya kununuwa badilikeni wanawake
 
huwezi kuuza bila kuwa na wanunuzi..
wanunuzi wasipokuepo na wauzaji watamuuzia nani? biashara lazima ife
 
Kuna sehemu imetukana? nimeongea uongo? anayejiuza huko mtaani ni mwanaume? Acha jaziba kama upo kwenye huo upofu pole sana kifo kibaya sana
pole wewe usiefkiri kwa kutumia ubongo nipo ndani nimetulia hofu kwako unoranda na njia kutizama yosokuhusu!!! kama mtu ulie na akili ulipaswa kutafuta suluhu ya hlo tatizo si kuwasonta vidole we unadhani wanapenda?si wote wako pale kwa kupenda fkiria mara mbili.
 
Kina kuuma nini sasa? Ni ukweli mtupu usiopingika Mwanamke anayejiuza anajichimbia shimo tena baya la mauti! Suluhu ya kujiuza ni kuacha kwa maamuzi yake mwenyewe, hakuna mtu atakayekuja kumuachisha. Ni wangapi wasichana wanasota wamelala njaa kwa kukosa chakula kwanini hawajaenda kujiuza? Unatetea ujinga mkubwa huku ukijidai unatumia utumbo mpana kufikiri. Mwanamke mzima umo ndani umetulia na heshima zako unaweza kutetea huu uachafu unaofanywa na mwanamke anayejiuza? Pyuu labda unatumia udongo kufikiri na busare!
 
we mwanume mzima kilichokupeleka ni nini elewa kitu kimoja si utetezi na kumsaidia mtu si kifedha hata psychological help inaweza msaidia sana kaka angu kubwata humu ndani hakuwezi kukusaidia fanya kitu kionekane umemwita kipofu mfungue macho!aafu ptuu mwenyewe
 
Back
Top Bottom