Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kipi kinachoumiza sana kati ya: 1.Maumivu kutoka na shida za maisha 2.Maumivu yatokanayo na mapenzi/mahusiano. Tusaidiane kujadili hili maana hivi vitu vinaongoza kuzorotesha raha na afya ya...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Mwanaume Anapenda kwa kutumia akili na moyo unafuata baadae na wako less emotional ,sisi wanawake yaani we are so emotional na tunapenda na moyo wote bila hata kutumia akili.wanawake tupende kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ya muda huu wapendwa, bila kupoteza muda tungie kwenye maada kama kichwa kinavyojieleza Kugombana ni sehemu ya maisha ya binadamu yawezekana kabisa ulikuwa na mwenzi wako ambaye ulimpenda...
5 Reactions
51 Replies
70K Views
1. Anaomba lifti, ukipata pancha anashuka kupanda daladala eti ana haraka. 2. Mtu umemsaidia mpaka akajitegemea, akapata kazi nzuri kuliko wewe, anaanza kusema mmh yani yule hana maendeleo kabisa...
5 Reactions
52 Replies
4K Views
MMU idumu!!!! Ndugu zangu huyu ni mwanamke niliyempenda akanipenda. Sikuwahi kufikiria kwamba kumpenda mtu kunaweza kufanya mabadiliko. Lakini this girl made me a better man. Kwa kweli nili-enjoy...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habarini Natumai nyote mu wazima kabisa nami namshukuru Mungu nipo vyema! Hebu tuligeukie suala hili la umri kwenye mahusiano yetu ya kimapenzi! mimi sio mfanya utafiti ila naongea kwa ufahamu...
0 Reactions
65 Replies
11K Views
Sina la kuongeza,nasia mwandishi ni mtaalam wetu pale chuo kikuu cha pale juu. pole sana wasomi
0 Reactions
15 Replies
2K Views
KUNA AINA 6 ZA MAHABA: 1. GEOGRAPHICAL LOCATION Utasikia, hapo hapo, chini kidogo, nilambe shingoni na masikioni, enheee hapo hapo, ninyonye maziwa, oohshiiiiii... Yes baby nibusu jamani.. uuuhhh...
5 Reactions
49 Replies
10K Views
My tym to log out bhana, wale niliowachosha samahanini sana, nilinowafurahisha na bado nawafurahisha mniwie radhi, nitarejea baadae tena, THIS IS SMIGO'S CAMP PRESENT and JF Head Prefect, good bye!
0 Reactions
1 Replies
827 Views
1 Reactions
202 Replies
14K Views
Watu wengi wangetamani kuona hawazeeki, wanabakia na nguvu za ujana na kwa sababu hiyo wanasayansi wanatafiti kupata ufumbuzi. Vyuo vikuu vitatu maarufu duniani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Kumbe humu ndani kuna wachokozi wa mapenzi? kwa akili zangu za miaka 19 nilifikiri ni mwanaume pekee anatongoza, kumbe hata mwanamke anatongoza! nyie wanawake naomben mcnitongoze jamani,
0 Reactions
15 Replies
1K Views
aise natafuta mrembo wa miaka 17-19 tuwe marafiki, baadae wachumba na kama vp tuwe 1 thing on next tym, nina miaka 19, kazi(kapuni), cpendi mchunaji, ukiniomba pesa nakuadd black list, nichek...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Inasemekana kuna jamaa anaitwa deo kibopa flani wa huko serikalini amemchukulia ney wa mitego mchumba wake jamani ni deo yupi nani anajua hii issue isee na sie mademu njaa zetu zinatumaliza manake...
2 Reactions
32 Replies
10K Views
Kuna mdogo wangu kapata mchumba wa kihindi, hivi atamuoa kweli? Coz hawa watu bana kuoa africa hua ni nadra sana mi sijaona kbs
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Nimetoka kwenye mihangaiko yangu nikaingia bar moja pande za sinza nipoze koo na kula japo kongolo. Baada ya mhudumu binti mkubwa tu kunihudumia nikamwomba aniitie mtu wa jikoni akapaza sauti...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Kwanini umpige mkeo bana? Mke hapigwi kwa mangumi na mateke utapata kesi ya jinai bure! Njia rahisi ni hiyo au mnasemaje wadau?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Waungwana kwa wema naomba mnipe tofauti kati ya mpenzi na mchumba jamani maana napata shida sana kutofautisha
0 Reactions
29 Replies
15K Views
Wakuu, Katika chunguza chunguza yangu nimegundua kua bongo celebrities wengi hawaolewi. Na kama wakiolewa basi ndoa zao huvunjika mapema kabisa. Jaribu kucheki wadada warembo wote, waigiza...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji...
27 Reactions
276 Replies
40K Views
Back
Top Bottom