Help please??

Help please??

Aquous

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
292
Reaction score
86
Mambo zenu wana jf.naombeni mnisaidie mwenenu nakuwa cku zingine cjickii kabisa kuwa karibu na mwenza wangu but akiondoka nammiss hii imekaaje?
 
ukishiba unakinai ngoja usikie njaa
 
Mambo zenu wana jf.naombeni mnisaidie mwenenu nakuwa cku zingine cjickii kabisa kuwa karibu na mwenza wangu but akiondoka nammiss hii imekaaje?
Saitaaa, jipe likizo kidogo shemeji...
 
Back
Top Bottom