shemeji analalamika simpigii simu na anataka kuniona me nipo busy na ishu zangu kwani lazima nifanye anavyotaka yeye si mpaka niamue mwishowe uvumilivu utanishinda!
habar za w/end wana jf,
ni kisa cha kusikitika kidogo kilichotokea mtaa wa pili ninamoishi.Kuna jamaa mmoja jina kapuni ni dereva wa lory ambaye hufanya safari zake kati ya Dar na Kongo za...
Baba akayasogelea mahindi akaiba huku anajisemea, "mke wangu na watoto wasinione".
Mama akayasogelea mahindi akaiba huku akijisemea, "mume wangu na watoto wasinione"
Watoto wakayasogelea mahindi...
Binadamu ana vijambo sana
Ni mara nyingi sana nimekuwa nikiwasikia vijana wakilalamika kuwa mabinti siku hizi hawawataki vijana na wamekuwa wakitoka na watu wazima au kama ni kijana basi...
Mimi ni kijana mvulana umri Wang miaka 22 kusema ukweli huwa sijiamin nahisi nna maumbile mb ndogo xana cos kama nchi tano hv ikiwa imesimama na ikiwa imesinyaa ni ndogo mno kama inch 2 so kiukwel...
Mwenzenu nimeolewa,naishi na binti wa kazi na tunapoishi ni nyumba ambayo mume wangu alianzia maisha so ni chumba na sebule tuu!
Binti huwa namlaza kwa sebule na godoro dogo tu sasa mume wangu...
Habari wana JF,
Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache.
Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.
Ni rahisi mwanamke kununua bidhaa asiyoihitaji au ambayo hakupanga kuinunua (impulse buying) kuliko mwanaume. Wafanyabiashara nao wamegundua fursa hii adhimu ya kibiashara na wameanza kuitumia...
Nanukuu...
Mimi ni msichana (mwanamke) ambaye nimelelewa katika mazingira ya kimaadili na ya kiucha Mungu. Nimevumilia sana kwa miaka mingi lakini sasa naona ninazidi kuchanganyikiwa kiasi cha...
I have decided to use that name cuz of some sweet feelings of love kwake and sometimes namchukulia kama mtoto the way navomcare!
Anyway, thats nt big problem, she makes me crazzy na utu uzima...
Jamn mim nashindwa kuelewa sijui mim ni mshamba au ni mgumu kuelewa sana...mpenz yupo buzy kuliko kawaida yaan no kuwasiliana nikijidai kijipigisha simu naambiwa am yours baby what else do i need...
Hii tabia si njema wanandugu hasa wana ndoa
kaama mmeamua kuaminiana akuna haja ya kukimbizana na small house,..maisha haya yatakufanya usiwe huruu kabisa kwneye familia yako...ukifika nyumbani...
habarini wana JF,
nimekuwa nikipitia site hii na kuona majadiliano mbalimbali.
mambo mengine yanatisha hata unaogopa kuoa kwa watu wanavyozieleza ndoa. juzi nimesoma topic inasema "hivi kuna...
jamani kwa wanamme mlooa
inakuwaje mkeo hadi akuibie pesa? Tena kwa kushirikiana na watoto wake mwenyewe?
Mie nadhani hapa kuna tatizo kubwa zaidi ya pesa. Hapa baba anaonekana kama...
Habari zenu wakuu!
Kuepusha personal attack, mimi siaambukizwa coz sijawahi kupima UKIMWI! But kwa kila mwaka napenda kwenda kuangalia damu yangu, (mzunguko wa damu, ujazo wa damu na kinga ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.