Huku kupendwa au ni kitu gan hiki

bahaticaro

Senior Member
Jul 20, 2012
100
0
Jamn mim nashindwa kuelewa sijui mim ni mshamba au ni mgumu kuelewa sana...mpenz yupo buzy kuliko kawaida yaan no kuwasiliana nikijidai kijipigisha simu naambiwa am yours baby what else do i need nachok je jamn iv wapenz ndy wanatakiwa kuishi hv kwel embu naomb mnijuz pleeez
 
JJ10

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
282
0
Nayo hii ni aina nyingine yakutafuta wapenzi hapa jukwaani'' maana unatufahamisha kwamba upo loose!! Subiri watakupm tu na utapata kazi kwako.
 
Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,504
2,000
ogopa sana hiyo...no one is too busy is just matter of priorities
 
jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,394
2,000
Inaonekana akaunt yako haisom kbs ndo maana mapenzi kwishinei.njoo bar tujinywee tu...loading error...
 
adinag

Member
May 13, 2014
87
0
huwezi kuwa bize kwa mpenzi wako. Thamani yako imeshuka kwake ndio maana anakufanyia hivyo
 
sunola

JF-Expert Member
Jun 19, 2013
2,790
2,000
typing error........ Achana naye fanya ya msingi jenga maisha yako/angalia future boss. Unajipotezea mda wakati mapenz hata baba yako yalimtesa wajali wazazi upate baraka mambo mengine kama hayaj funga kope usawa huu kifup we pita ivi---->>
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,414
2,000
Kushinda na simu masikioni si utamaduni wa baadhi ya watu, mimi nikiwepo.
 
Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,731
2,000
Vitu vingine hata havihitaji ushauri inaonekana tu hana time na wewe
kwahiyo chagua kuchapa lapa au kukomaa.....
 
Asnam

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
4,258
1,225
Endelea kuchunguza usijekutwa na bwana Pepsi kama wa Vicky Kamata teh teh teh
 
MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
5,346
2,000
Vitu vingine hata havihitaji ushauri inaonekana tu hana time na wewe
kwahiyo chagua kuchapa lapa au kukomaa.....

Communications ni muhim kwenye mapenzi sa u busy u busy gani huo

Mbona mnakuwa negative kiasi hicho, si bora hata huyu anaambiwa nipo busy... sisi wengine tukiingia mzigoni simu inazimwa mpaka mzigo unapoisha, lakini haimanisha hatuwapendi wapenzi wetu ni majukumu tu yanabana. Siku za kazi ni mimi na kazi, Ikifika weekend ni mimi na baby anapewa yeye yooote.
 
Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,731
2,000
Mbona mnakuwa negative kiasi hicho, si bora hata huyu anaambiwa nipo busy... sisi wengine tukiingia mzigoni simu inazimwa mpaka mzigo unapoisha, lakini haimanisha hatuwapendi wapenzi wetu ni majukumu tu yanabana. Siku za kazi ni mimi na kazi, Ikifika weekend ni mimi na baby anapewa yeye yooote.

Weeweeee baby wangu anafanya kazi kiukweli inamkeep busy hata mi najua wala asiponipigia
siwezi kulalamika ila anajitahidi hata akipata sekunde anantxt
sasa huyo anafanya nini hicho cha kumnyamazisha hivo....ubusy mwingine hata sio ishu
 
Neylu

JF-Expert Member
May 28, 2012
2,844
2,000
Mmnh.... Polee..! Nilishawahi kuwa na mpenzi wa aina hiyo.....Nilipomchunguza niligundua ni mume wa mtu....!! Taratiiiiibu nikasepa zangu..!

Mwanaume anayekupenda hawezi kukosa muda wa kuwasiliana na wewe..!!
 
Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,145
2,000
Mbona mnakuwa negative kiasi hicho, si bora hata huyu anaambiwa nipo busy... sisi wengine tukiingia mzigoni simu inazimwa mpaka mzigo unapoisha, lakini haimanisha hatuwapendi wapenzi wetu ni majukumu tu yanabana. Siku za kazi ni mimi na kazi, Ikifika weekend ni mimi na baby anapewa yeye yooote.
"

mapenz ya hivyo siyawezi unazima sim hata zikitokea ishu emergency anakujulishaje
 
mrsleo

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
2,472
2,000
Kuna mawili ukute kweli hajatulia na ww ni moja kati ya vipoozeo vyake na mwisho wa yote utakuja gundua ulishaachwa siku nyingi au pengine ndivyo alivyo mana kuna wanaume wengine akishakufukuzia akakupata anaona kamaliza kazi atakutext au kukupigia kwa issue muhimu tu lakn usitegemee kutafutwa kila cku nilishawah kuwa na rafiki wa hvyo gf wake alikuwa analalamika sana lakn jamaa akawa anasema yy ndo alivyo na kubadilika hawezi ila mwisho wa cku amemuoa yule dada, kazi kwako mamii
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom