Mwanamke anataka tukatengue ndoa kisa sijamalizia mahali

Paul mathew

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
275
60
Nishaurini hapa mwanamke anataka tukatengue ndoa kisa sijamaliza mahali. Toka nimemwoa maisha amekua akinitegemea kila kitu yeye ni home wife.
 
kwa kifupi hakupendi! mume wangu simuachi ng'o hata kwa kumshika ugoni, itakuwa hiyo mahari! mmmhhhh pole!
 
Huyo anajazwa upepo sehemu, na kunawiri kote kunatokana na nguvu zako unazompa kama matumizi nk, ukishamuweka kando atajilaumu! Wakati mwingine wewe ndio chanzo, jipime kama unatimiza wajibu wako vzr.
 
Mbona hayo yametokea sana! Wewe akikubaisha mwambie mtengane kama anavyotaka. Atarudi mwenyewe kubembembeleza.
 
Nimevumilia sana, nimemsomesha various course yeye ni form leaver failure. Mda wote ningekuwa simjali ningeshalipa bt nishaurin nichukue maamuz sahihi.
 
si ukalipe hiyo mahari? Unasubiri nini? Unaoa kwa mkopo afu unasema hadharani?
Una utani kwa kweli.

Afu acha kumdharau mkeo eti fomu foo felia, kama cheti mali ungeoa cheti chako.
 
si ukalipe hiyo mahari? Unasubiri nini? Unaoa kwa mkopo afu unasema hadharani?
Una utani kwa kweli.

Afu acha kumdharau mkeo eti fomu foo felia, kama cheti mali ungeoa cheti chako.

Haswa! hili ndo swali na jawabu kwa pamoja...lipa mahali yake kamili kwao, au ulifikili umepewa punguzo??
 
E mungu niepushe hili lisinipate dah so sad bro in short hata ukimlazimisha sijui kama kutakuwa na mapenzi tena ebu jaribu kujikunguta ukalipe mahari bro tuone kama kuna change or what inawezekana kuna nguvu zinatoka kwa wazazi wake hasa mama yake amemuambia atingishe kiberiti kama kina njiti cha kutosha
 
Nishaurini hapa mwanamke anataka tukatengue ndoa kisa sijamaliza mahali. Toka nimemwoa maisha amekua akinitegemea kila kitu yeye ni home wife.

Mnh, upendo umetoweka. Kwa mujibu wa sheria mahari siyo moja ya masharti ya kuoa wala hayana uzito. Muhimu ni kuridhiana. Huyo hakupendi maana kwani mahari anapokea yeye au wazazi. Mwambie aende, hakuna case. In Tanzania divorce can only be granted for one reason, THAT THE MARRIAGE HAS BROKEN DOWN IRREPAIRABLY! Period
 
Nishaurini hapa mwanamke anataka tukatengue ndoa kisa sijamaliza mahali. Toka nimemwoa maisha amekua akinitegemea kila kitu yeye ni home wife.

Kwa ufahamu wangu mimi watu wengi wanaooa huwa hawamalizii mahari.....ni vyema kufanya uchunguzi wa kutosha kuhusiana na hiyo hali. Huenda ikawa ni mila zao, tamaa au kukukomoa endapo kama mlifunga ndoa pasipo kupendana kwa dhati.
 
Me kila siku naendelea kufikiria hili swala la kuowa, mkuu mwambie utamrudisha kwao mpaka bajeti yako iwe vizuri mfukoni then ukiwa ok utamalizia then unamchukua back, asitake kukuumiza akili
 
Kubali mwende mkatengue; kwa sharti kwamba kwa kuwa yeye ndo ameamua kuvunja mkataba wa ndoa, basi wakurudishie na mahali yote uliyokwishalipa.
Tena mkomalie kabisa kwenye. Mwonyeshe kwamba mtu mzima hatishiwi nyau.
 
Haswa! hili ndo swali na jawabu kwa pamoja...lipa mahali yake kamili kwao, au ulifikili umepewa punguzo??

Marhaba bandama apa uko sawia kabsa ndonn anataka kupata uroda bla kulpia jumla kan uktoa mia 300 unapata vocha ya kupga cm thubu2.pre paid ikamhusu uyn bwan shemej.
 
Mnh, upendo umetoweka. Kwa mujibu wa sheria mahari siyo moja ya masharti ya kuoa wala hayana uzito. Muhimu ni kuridhiana. Huyo hakupendi maana kwani mahari anapokea yeye au wazazi. Mwambie aende, hakuna case. In Tanzania divorce can only be granted for one reason, THAT THE MARRIAGE HAS BROKEN DOWN IRREPAIRABLY! Period

Hapana bana mahar ni shart maridhawa kwa cc wene iman ze2 japo co lazm iwe pesa na inatakiwa bidada aangalie unajmudu vp ndo akwambie nataka k2 kadhaa au pesa kias fulan.tatzo ni wale ambao mahar zao wanapangiwa na wazee hapo ndo kwene madhla km c mushkel kwan wao watapanga kwa mahtaj yao na si kuangalia hal hals ya mlengwa.Kwa sie waislam mahar ni hdaya yan zawad ata akiamua bi haruc kusema anataka mahari ya ktabu ya mbinu za kumtega mume inakubalka
 
Back
Top Bottom