Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeamua kuuliza swali hilo hivyo, si kwakua ninadharua rangi yangu lakini ni kitu ambacho kimenipa hasira sana. Nimekua na relationships za kutosha mpaka sasa nilipoamua kutulia. Kati ya vitu...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
She is cheap because she loves you If you wanna know how expensive she is check her inbox and see how many GUYS she DISAPPOINTED just to be with you alone. Men respect your WOMEN Kwa niaba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
:A S 39::A S 39: Hebu tuandamane tu maana Threads za kutupigia kelele zimezidi wakati wao ndio chanzo
6 Reactions
106 Replies
7K Views
Nadiriki kusema ndoa tu ndo shule ngumu sana kufaulu,na ndo maana unapewa cheti chake kwanza halafu mitihani yake unaikabili baadae lasivyo ingeanza mitihani wengi wangetoroka shule na wachache...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Husika na kichwa cha ujumbe hapo juu mimi ni kijana wa kiume naomba mpenzi aliye hapa dar ani PM tuelekee beach tukapate upepo natanguliza Asante
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Shikamooni wakuu, Sasa leo nataka niseme kitu kimoja kwenu wanaume, Mwanamke mzuri anahitaji pesa jamani,usitegemee utampata mwanamke mzuri kwa sasa hivi kama hauna mkwanja mrefu,hilo sahau...
6 Reactions
380 Replies
26K Views
Unaweza ambiwa wewe kicheche but haujaoneka na mabinti wala nini.Sasa najuiliza nini hasa kinachofanya man uonekane kicheche?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sijui sana labda ndio kwenda na wakati au mimi ni mshamba. Kuna tabia imezuka sana kwa sasa tabia ya kutaja hadhrani viungo vya siri au sehemuza siri au matendo yanayopaswa kufanywa sirini bila...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Ndugu wanaJF, Kuna baadhi ya vitu huwa vinatumiwa tu na wanawake, lakini pia vipo vinavyotumiwa na wanaume tu, japo vipo ambavyo twaweza kutumia pamoja. Sitaki kuzungumzia perfume maana nahc...
0 Reactions
105 Replies
10K Views
Jana nilifiwa na mwanangu wakati mama ake akiwa katika hatua za kujifungua, ni maumivu sana lakini naamini ni mapenzi yake Mungu. Ninawashukuru wote waliofika kunijulia hari,waliotoa pole zao na...
5 Reactions
214 Replies
17K Views
KUTOKA KWA MUANDISHI WAKO WA TAMTHILIA YA THE SECOND DOOR USIKOSE KUFATILIA KISA CHA AINA YAKE KATIKA RIWAYA YA MAHAKAMA YA MAPENZI NANI KASEMA HAKUNA MAHAKAMA YA MAPENZI? USIKOSE KUJUA NINI...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Dunia ina mambo,kweli tembea uone au usikie mengi. Leo nimeng'oa mlupo,kidosho swadakta mtoto wa watu nikajilie vyangu. Kufika loji nikamchojoa viwalo vyake. Nikaanza maandalizi ya kumwelekeza...
1 Reactions
82 Replies
9K Views
Niamkapo, Nasali na baadaye, salamu kwa marafiki ndugu na jamaa: wakubwa=shikamo vijana wenzangu=Habari wadogo zangu=umeamkaje. Mungu akulinde kwa upendo wako wa kukubali kuitikia salam...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwa wanawake kupenda kunawachanganganya sana, tofauti na wanaume. kwa mwanamke kupenda kunahusisha mambo mengi na kila mmoja anazo sifa zake anazozipa kipaumnbele ingawa hazitofautiani sana. Kuna...
16 Reactions
119 Replies
16K Views
Wanajamii habari za jioni. Mke wangu ikifika jioni mpaka usiku anakuwa busy sana na sim hata mda wa kuongea na mimi hana, wakati mwingine tukiwa sebureni hujifanyifa anaumwa na kwenda chumbani...
1 Reactions
91 Replies
11K Views
Jamani natafuta rafiki wa kike lakini awe mwalimu shule msingi au sec ambaye baadaye tuweze kuishi pamoja as a family...sifa: awe mkristo, umri kati ya 18 -23, kabila yeyote,mrefu kidogo asiye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanaMMU,...... Nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu, nampenda na niliamini ananipenda pia. Mwezi huu nimejigundua kuwa Nina ujauzito wake, niliopomwambia anadai nitoe...
0 Reactions
160 Replies
12K Views
shemeji analalamika simpigii simu na anataka kuniona me nipo busy na ishu zangu kwani lazima nifanye anavyotaka yeye si mpaka niamue mwishowe uvumilivu utanishinda!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
habar za w/end wana jf, ni kisa cha kusikitika kidogo kilichotokea mtaa wa pili ninamoishi.Kuna jamaa mmoja jina kapuni ni dereva wa lory ambaye hufanya safari zake kati ya Dar na Kongo za...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom