Natafuta mke

Himidini

JF-Expert Member
May 8, 2013
5,542
1,225
^^
Kuna wachumba tu, juhudi zako tu ndizo zinaweza kumgeuza kuwa mke!
^^
 
CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,113
2,000
28yrs umechoka tena mwanaume??? Kweli mko tofauti, nina marafiki zangu wana 32-35yrs nikiwauliza vipi mna mpango gani wanasema bado wapo wapo!!

Hongera mkuu!!
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,762
2,000
28yrs umechoka tena mwanaume??? Kweli mko tofauti, nina marafiki zangu wana 32-35yrs nikiwauliza vipi mna mpango gani wanasema bado wapo wapo!!

Hongera mkuu!!

mie nna rafiki yangu mwili mdogo ila kwa haraka haraka anakimbilia 40. Ameshakata tamaa ya kuoa kabisa. Hata mtoto wa kiume ukifika miaka 28 inabdi uwe katika mahusiano ya kueleweka. Unaweza ukashangaa unakosa mke hivi hivi.
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
53,553
2,000
mie nna rafiki yangu mwili mdogo ila kwa haraka haraka anakimbilia 40. Ameshakata tamaa ya kuoa kabisa. Hata mtoto wa kiume ukifika miaka 28 inabdi uwe katika mahusiano ya kueleweka. Unaweza ukashangaa unakosa mke hivi hivi.

Huyo kapenda kukosa....mwanaume hata awe na miaka 60 hawezi kukosa mke
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom