Mjomba ndiye aliyenitoa bikira yangu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjomba ndiye aliyenitoa bikira yangu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pape, Jan 22, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nanukuu...

  Mimi ni msichana (mwanamke) ambaye nimelelewa katika mazingira ya kimaadili na ya kiucha Mungu. Nimevumilia sana kwa miaka mingi lakini sasa naona ninazidi kuchanganyikiwa kiasi cha kutaka kuchukua uamuzi usiofaa!

  Miaka ya mwanzoni mwa 1990's tulikuwa tunaishi na mjomba wangu ambaye alinizidi miaka 11. Mimi ni mtoto wa kike wa pekee pia nina mdogo wangu wa kiume. Wazazi wetu sio watu wa kukaa sana nyumbani kwani mara kwa mara walikuwa wanasafiri kwenda ng'ambo kikazi.

  Kuna siku moja wakati tumebaki mimi na mjomba wangu hapo nyumbani aliweka muvi ya titanic na tukawa tunaangalia pamoja! Muda kupita alileta vinywaji na tukanywa! Baada ya muda mfupi nikaanza kujisikia kizunguzungu na alianza kunishikashika na kwakuwa nilikuwa sina nguvu alinibeba na kunipeleka chumbani kwake!

  Nilikuwa sijiwezi hata kupiga kelele na alifanya kila kitu kisha kunipa Tshs 5000 na kuniambia nisiseme kwa mtu! Baada ya muda nilisikia maumivu sana na niliona aibu kuingiliwa kinyume na mjomba wangu!

  Nilitaka kumwambia mdogo wangu lakini niliona aibu. Nilitaka kumwambia mama pia niliona aibu kwani aliyenifanyia ni mdogo wake!

  Roho iliniuma sana kwani yeye (mjomba) ndiye aliyenitoa BIKIRA...

  Nimevumilia lakini kila nimuonapo nakuwa sina amani na hata kuna wakati nilifikiria suala la kutaka kumuwekea sumu katika chakula ili afe!

  Hii hali bado inanitesa sana moyoni kwani hata wazazi wangu hawajui kitu chochote!

  Kwasasa nimeolewa na sina amani na ndoa yangu kwani nahisi kama mjomba wangu alinifanyia unyama wa kutisha! Nashawishika kumweleza mume wangu lakini ninaogopa kuharibu ndoa yangu. Sijui mume wangu akijua atanichukuliaje! Wazazi wangu nao wakijua watanichukuliaje?

  Ndugu wasomaji hali ndiyo kama hiyo, naomba mnisaidie mawazo yenu je niweke mambo wazi? Je, nitaificha vipi aibu yangu? Je, jamii itanielewa?

  Kila siku hali inakuwa ni mbaya kwani nakosa raha na nasikitika kusema kwamba kila mara niwazapo juu ya suala hili huwa ninapata jibu moja tu: kujiua!

  Naomba mchango wenu kimawazo!


   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Roho iliniuma sana kwani yeye (mjomba) ndiye aliyenitoa BIKIRA...

  kama asingetolewa Bikira ingekuwa safi tu?? au??!!
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  pape na story zake bana!! slama lakini?
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ma-sredi ya pape nayo!...lol!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  We una matatizo zaidi ya hilo..!huh!

  Umeolewa, unaishi na bwanako, unakosa kazi hadi unaanza kuwaza mambo ya mjombako...aibu kwako...it happened, and thats all!

  Ingekuwa unakataliwa na wanaume kisa wanajua ulibikiriwa na mjombako , hiyo ingekuwa ishu nyingine...

  Sioni sababu yoyoye ya kupoteza muda wako kuwaza kujiua...for what...-Over my dead body,sijiui wala nini...wai!
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  eeeh bwana eeeh move on na maisha yako hilo jambo lilitokea hukusema sasa iweje leo ?
   
 7. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hilo jambo lilishapita, lisahau. Kwa kuwa sasa una kwako, tulia na mumeo na familia yako, sahau yaliyopita. Unataka kujiua kwani una hatia gani katika hilo? Endelea na maisha yako kama vile nothing ever happened to you.
   
 8. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kujiua is not a solution. Muombe mungu ukuondolee shetani wa kujiua, then jaribu kktana na mjomba wako mkmbushie unyama aliokufanyia mwangalie atajibu nini, akijifanya jeuri we mwambie mama kuhusu hilo!!! Ila nilazima uandae mazingira ya kumweleza sio ukurupke!!!!!!! Pole sana
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  salama mkuu....

  yanaboa eeh?
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  namshangaa!

  yaani angekuwa ametolowa hiyo kitu na mtu mwingine angetaka kujiua bado?

  hebu aache mawazo ya kishetwani kabisa haya! dah!

  Amesgaolewa sasa anatakaje? katu asimweleze sio mume tu hata mtu yeyote yule. hiyo ni the past, and thats the past. Kama hawezi kuacha mambo yalopita yapite basi ana walakini..she should be strong

  plus, asipende kukaa au kuonana na huyo mjomba wake..si yupo kwa mumewe au 'mjomba' bado anamfuata huko!?
   
 11. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ulikosea tangu siku nyingi! Ulitakiwa kuwaeleza wazazi wako mapema baada ya tukio. Nakuomba itisha kikao kama unaweza, akiwemo yeye, mama baba na ndugu wa4 au wa5 hv..then waeleze kilichotokea.. (TEGEMEA HATOKUBALI KUWA KAFANYA HICHO KITU) Vinginevyo utaumia mpaka unafikisha miaka mia (100) kama hutojitoa roho! POLE SANA MAMA.... Imenigusa
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah mpwa aliamua kula mayai ya dada ake hivi hivi hehehe ndo raha ya kula na nduguyo hiyo asiumie sana maana alie faidi ni ankal
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  kuna vitu vingine havifikiriki jamani!!

  assume kama ww ungepigwa mta****o na ankal wako na hapo namaanisha kinyume na maumbile..........uuwiiiii, ungekuta nipo Segerea kwa kuua kwa kukusudia.
   
 14. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Kwani angesema ndio ingekuwaje?? alifurahia huyo ndio maana alikaa kimya. Kama hicho kitu kilimuuma hakutakiwa kufikiria suala la aibu wala kuharibu uhusiano wa mjomba wake na mama yake yeye angelipua bomu tu...Imetoka hiyo!!
   
 15. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  yaani alilamba hata stock!
   
 16. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  alipewa hela ili asiseme kwa mtu
   
 17. RR

  RR JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Kwa anataka arudishiwe bikra yake au?
   
 18. M

  Magehema JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna principle rahisi sana ya kuondokana na hilo tatizo; TRY TO FORGET THINGS THAT MAKE U SAD AND ALWAYS REMEMBER THINGS THAT MAKE U HAPPY!
   
 19. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2010
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Paka jimmy katika siku ambazo umenifurahisha ni leo, yaani sina la kuongeza kama bikira imeshatoka imetoka tu, na inaonekana binti analipa ndo maana kaolewa naomba nimpongeze kwa hilo, bibiye huna sababu ya kurudia mawazo ya zamani, usiwe na mitazamo ya katika tamthilia ambayo wazungu wanajidai kwamba eti mtu akiingiliwa kwa nguvu hawezi kusahau tukio hilo na anaathirika kisaikolojia, after all wewe hujabakwa ila anko alitumia ujanja wa kukulewesha kidogo ndo maana akaweza kufanya kitendo hicho, nakuomba achana na mawazo ya ki-tamthilia.
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mjomba taratibu eeh!
  Iam watching you from a distance!...Mind your utterances
   
Loading...