mtoto kavunja ndoa ya mama yake mzazi

Mr mgeni

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,222
2,000
habar za w/end wana jf,
ni kisa cha kusikitika kidogo kilichotokea mtaa wa pili ninamoishi.Kuna jamaa mmoja jina kapuni ni dereva wa lory ambaye hufanya safari zake kati ya Dar na Kongo za usafirishaji wa makontena.Anaishi na mke na mtoto wa kiume mwenye umri kama miaka 8,inasemekana kwamba mke wa huyo dereva ni mchepuko mumeo akisafiri yeye huingiza wanaume ndani kutokana na tabia hiyo yule mwanae hakupenda kwani alikuwa akichukia mno,siku moja mama huyo baada ya mumewe kusafiri akaingiza hawara wake ndani akawa anajisevia mchana kweupee!baada ya dogo kutoka kwenye michezo yake gafla bini vuu kazama ndani bila kujua chochote mara kasikia aaaah! uuuuuh! reeehh mara m,m,m,m mara hapohapo Baada ya dogo kusikia hayo akajua mama atakua anaumwa dogo kazama ndani khaaa kakuta mama miguu ipo juu ya mabega ya jamaa ikabidi dogo atoke nduki nje wakubwa zoezi lao likawa limekatishwa ndipo mama alipotoka nje kwa hasira akamkamata mwanae na kumshushia mipigo cha maana hadi dogo kushindwa kutembea,Dogo kwa uchungu wa kupigwa bila sababu ya msingi akamwambia mama yake "labda baba asije"Baada ya wiki kama mbili baba akawa karudi breki ya kwanza kabla hata salam dogo kamsimulia baba mkasa wote na makovu kamuonyesha baba hakumuambia chochote mkeo kwa alichoambiwa na mwanae.Aliweka mtego wake akaaga anasafir kashinda siku ya kwanza siku ya pili usiku karudi ndipo aliposhuhudia kiukweli alitoa kipigo kitakatifu kwa wote ila mkeo ndo alimpiga na kumjeruhi vibaya akamlima na talaka 3 ndoa ikawa mwisho wame.Onyo"michepuko sio dili baki njia kuu japo faida yake ndogo.
 

kichunafk

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
993
500
hata kama unaiba bhana inabidi uibe kwa akili na kumuheshimu mwenza wako. Unaona shida kwenda kutafuta chumba huko cha kufanya ujinga wako hadi uridhike unaleta michepuko yako ndani. Lohhh
 

The bos

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
350
0
hata kama unaiba bhana inabidi uibe kwa akili na kumuheshimu mwenza wako. Unaona shida kwenda kutafuta chumba huko cha kufanya ujinga wako hadi uridhike unaleta michepuko yako ndani. Lohhh

Mkuu usaliti ni usaliti haijalish unafanyia wapi zote sio heshima ktk mahusiano cha msingi kujifunza kusema NO ktk temptition
 

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,255
2,000
habar za w/end wana jf,
ni kisa cha kusikitika kidogo kilichotokea mtaa wa pili ninamoishi.Kuna jamaa mmoja jina kapuni ni dereva wa lory ambaye hufanya safari zake kati ya Dar na Kongo za usafirishaji wa makontena.Anaishi na mke na mtoto wa kiume mwenye umri kama miaka 8,inasemekana kwamba mke wa huyo dereva ni mchepuko 1mumeo akisafiri yeye huingiza wanaume ndani kutokana na tabia hiyo yule mwanae hakupenda kwani alikuwa akichukia mno,siku moja mama huyo baada ya mumewe kusafiri akaingiza hawara wake ndani akawa anajisevia mchana kweupee!baada ya dogo kutoka kwenye michezo yake gafla bini vuu kazama ndani bila kujua chochote mara kasikia aaaah! uuuuuh! reeehh mara m,m,m,m mara hapohapo Baada ya dogo kusikia hayo akajua mama atakua anaumwa dogo kazama ndani khaaa kakuta mama miguu ipo juu ya mabega ya jamaa ikabidi dogo atoke nduki nje wakubwa zoezi lao likawa limekatishwa ndipo mama alipotoka nje kwa hasira akamkamata mwanae na kumshushia mipigo cha maana hadi dogo kushindwa kutembea,Dogo kwa uchungu wa kupigwa bila sababu ya msingi akamwambia mama yake "labda baba asije"Baada ya wiki kama mbili baba akawa karudi breki ya kwanza kabla hata salam dogo kamsimulia baba mkasa wote na makovu kamuonyesha baba hakumuambia chochote 2mkeo kwa alichoambiwa na mwanae.Aliweka mtego wake akaaga anasafir kashinda siku ya kwanza siku ya pili usiku karudi ndipo aliposhuhudia kiukweli alitoa kipigo kitakatifu kwa wote ila 3mkeo ndo alimpiga na kumjeruhi vibaya akamlima na talaka 3 ndoa ikawa mwisho wame.Onyo"michepuko sio dili baki njia kuu japo faida yake ndogo.
Kisa cha kusikitisha. Ila kiswahili hakijanyooshwa vizuri. Sahihisha namba moja iwe mumewe badala ya mumeo na namba 2 na 3 iwe mkewe badala mkeo. Ni hayo tu -Mimi nakipenda sana kiswahili, asante.
 

kichunafk

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
993
500
Mkuu usaliti ni usaliti haijalish unafanyia wapi zote sio heshima ktk mahusiano cha msingi kujifunza kusema NO ktk temptition

nakubaliana nawe 100% ila kumleta mchepuko wako kwenye nyumba unayoishi na mumeo au mkeo ni ugaidi zaid ya ule wa alqaeda
 

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Huyo mchepuko naye hajitambui,anakubalije kuletwa kwenye chumba cha mwanaume mwenzie?
 

mamii2

JF-Expert Member
May 7, 2014
356
195
Yani alitakiwa amtairi kwa mara ya pili unaenda kwenye chumba cha mwaume mwenzio tena mchana aiseee watu wengine hawana hata huruma na maisha yao


Na huyo mwanamke alichompigia mtoto nini sasa kuingia kwenye nyumba aloigaramikia babaake kwa uhuru au hana hata aibu
 

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,296
2,000
Huyo mwanamke kiazi mviringo kweli kweli.....

Toka lini mchepuko ukaupeleka nyumbani kwako?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom