Lizzie Velasquez, who has been called the
worlds ugliest woman, hoped to tell her
story through an anti-bullying documentary
about her life.
She became well known in December 2013,
when...
Kijana mmoja baada ya kutajirika akamwambia babayake.
"SEMA NIKULIPE NINI ILI TUSIJUANE TENA"
Baba akamjibu kwa HEKIMA.
" Mwanangu nipe mkeo nimnyonye maziwa kama wewe ulivyomnyonya maziwa...
Wakubwa zangu shikamooni!!!! (Special kwa babu lao Asprin)
Peopleeeeeeeeeeeessssssssss!!!!
Ni Snow to the Ball in da houseeeeeeee!!!!!!!!
Guest: SnowBall
Host: Lara 1 & Zinduna
Topic: Things...
Saa nyingine unakaa na kuona umeshakuwa mkubwa sasa na kujiona una busara (@least we lie to ourselves to make us feel better),
unawaangalia wadogo zako na kuwashauri especially kuhusu kubaki njia...
Nimeandika ujumbe huu nipo sebuleni nna mawazo yasiyoelezeka in short nataka nitengane na mke wangu niliyezaa nae watoto wawili na sababu ni kwamba anataka uhuru kwamba mimi nambana wana jf wote...
Napenda niwashauri dada zangu hii tabia inayokuwa kwa kasi ya kupenda kugawa butty sio nzuri.wengi mnajidanganya kuwa ukimpa mwanaume huduma hiyo basi hato kuacha.ni fikra potofu kabisa kwani kwa...
Ndugu wanabodi, kulingana na utafiti nilioufanya kwa kina humu ndani nimegundua kuwa kuna wimbi kubwa la members kujihusisha na biashara ya kugegedana (me na ke)....
Sasa basi kwakuwa Kinga ni...
Habari za weekend wana jf,
kabla ningependa kutoa angalizo kwa wanaume wote wenye tabia za kujifanya wakali pind wanapokuwa na familia zao(baba),akifika hone tu mkewe na watoto wote kimyaaaa...
Kwa mfano sasa, mwanaume unammendea dada fulani. Huna lolote kuhusu future naye zaidi ya kutaka tu kum... then
usepe zako ( :smiling: ).
Ofkoz kwenye negotiation, follow up na usumbufu na yeye...
Siku nilipogundulika nina VVU nilishtuka ila nikaja kuzoea na nikasema sitakuwa kwenye mahusiano na ikawa hivyo; tatizo ni siku za karibuni familia yangu haijui tatizo langu na imeyumba kiuchumi...
Asalaleeeeeeeeeeeeee! wana MMU
Iko hivi kwa asilimia kubwa wanawake wengi hujikuta wamenasa mikononi mwa wale wasio wapenda kabisa lakin hulazimishwa na mazingira kama vile umri na vingine...
Mimi ni kijana wa miaka 30.
Natafuta mchumba muislamu mwenye kujitambua umri usizidi 27 na usipungue 20.
Akiwa mwalimu ni vizuri zaid.
Kabila lolote.
Ulie tayari ni pm.
Mungu alimwangalia Adamu akaona ni mpweke akasema sio vizuri awe mpweke,ndipo akampa usingizi mzito kisha akamkata ubavu wake wa kushoto akamwumba Hawa ili amliwaze,sasa nashangaa saivi badala ya...
R. Kelly ameimba '' when a woman love, she loves 4 real...''
My take:
Ni kwanini mwanamke akiamua kumpenda mwanaume, halafu akimkosa, anaweza akamchukia maisha?
Nauliza kwasababu kuna wasichana...
WanaJF hivi kwanini wanaume wa siku hizi wanatongoza sana?Watu wanatongoza kama wanalipwa?Nini kimetokea mbona haya mambo hayakuwepo zamani?Yani sasa hivi sio mke wa mtu sio mtoto watu wanaomba...
SHILINGI INA PANDE 2,kamwe Usiamini Ukweli wa Upande 1 tu wa Shilingi
Mara nyingi unapoanza Uhusiano mpya na mtu kuna tendency ya kuuliza-uliza maswali ya kibwege------ tu madai yake...
Wakuu, hii kitu imenitatiza kidogo
Jirani yangu hapa huwa anakula mkong'oto wa nguvu sana toka kwa mumewe hadi anakwenda hospitali, lakini jamaa huwa anakuja na kuyamaliza kwa kuhonga cash kwa...
Ni kuhusu mjomba wangu.
Ni kijana mwanaume wa miaka 19.
Mwaka jana mwezi wa saba aliiba shilingi milioni moja na nusu nyumbani kwao.
Aliitumia ndani ya wiki moja na kuimaliza.
Alishikwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.