Kwani ukianzia kwako, kati yako na yeye nani apata raha kumzidi mwenziye?
Kila bada ya siku mbili lazima hili swali lianzishiwe uzi..sijui watu wanataka wajue nini na kwanini.? yaani mtu akishajua kinachofuata ni nini..?!
Kasema anafanya utafiti...si umjibu mwenzio ana dissertation juu ya hilo jambo!!
Wataalamu wanasema ni mmke...mletamada kagoogle huko wacha uvivu.
Wadau nimeona nifanyie tafiti swali hilo ili niongeze ufahamu zaidi.nakaribisha majibu.
Mwanaumeeee