Habari wana jf. Mapenzi ya siku hizi ni majanga mtu anadiriki kukuumiza bila sababu anayokwambia iliyopelekea akuache. Ni afadhari kutembea na mme wa mtu kwa sababu unajua kabisa sio wako.

Hivi wewe unapinga nini na uanshauri nini?
Hivi huoni kuwa kwa kutembea na mume wa mtu utakuwa unasababisha mtu mwingine wa tatu (mke wa mume utembeaye naye) kuumizwa pia?
Hebu acha kuwa na akili za rejareja kama misukule ya Lumumba, kuna watu nafikiri mmepewa akili kama si za kufanikisha zoezi la kutawaza kinyesi chooni basi itakuwa za kukusaidia kufakamia matonge ya msosi...
Kuwa sista wa kujitegemea....mme wa mtu acha alee familia yake na wanamzunguka...wew kama umeamua kutokuwa kwenye mahusiano basi usiwe kabisa...na siyo kuwa na mme wa mtu...
😛hoto: OMG!! WHAT THE HELL ARE YOU TALKING ABOUT?????????????? HA HA HA HAHivi masister hawaonji dushe the whole life?
😛hoto: OMG!! WHAT THE HELL ARE YOU TALKING ABOUT?????????????? HA HA HA HA
excuse me sir; can you try to tackle my question on stage?
definitely not all.. Because, some nuns engaged themselves in sexual promiscuity with padre, bishops and others and some choose to abandon their vows and get married. .. Not all THAT glitters are gold.i hope youknowhwatimean
definitely not all.. Because, some nuns engaged themselves in sexual promiscuity with some padre, bishops and cardinals, others and some choose to abandon their vows and get married. .. Not all that glitters are gold.i hope youknowhwatimean....
its not something to do with judging someone but i' am just saying it. i know this sounded weird to others, but am not blaming anyone either, am just a reporter..it damn real.!! sio wote waniitao bwana bwana ....dah dah dahBLASPHEMY AT ITS HIGEST! Who arw you to judge?