Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau JF salam, Kimekuwa kilio cha wanadaoa wengi sana kwenye familia zao juu ya ujio wa michepuko au nyumba ndogo.. na niongeze kwa kusema imekuwa kama kamtindo fulani sasa kwa wanandoa.. Naomba...
3 Reactions
47 Replies
9K Views
  • Closed
1. Anaefanya mapezi kwa vile ana enjoy kufanya mapenzi 2. Anaefanya mapenzi ili apate kitu fulani toka kwa anaefanya nae mapenzi 3. Anaefanya mapenzi ili apate umaarufu kwa watu 4. Anaefanya...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
JF ndio kila kitu kwa ushauri,mafunzo nk Kama mnavyojua maisha ya ndoa yana changamoto zake,hayafananishwi na mstari ulionyooka bali ni kona kona nk.Hivi karibuni mke wangu amekuwa akinitolea...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hallow my Best Friends, Iam more than happy kutambua kuwa mola amenijalia kuingia ngwe ya pili ya mwaka huu(2014) nikiwa hai pamoja na wasomaji wangu wote. sijui kama ni utaratibu wa kawaida...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1.Unanunua nguo bila mpangilio.. Kuna watu wana nguo kama duka. Plz Kuwa na... nguo chache Tu huwezi kushindana na fashion. 2.Unanunua Viatu bila mpango. Viatu pia vinameza savings zetu. Nunua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kimsingi duni ya sasa ina vitu vinaitwa risks, ili mtu kujiweka salama dhidi ya risks zilizopo hana budi kuw na insurance. Mchepuko ni insurance. nahitaji mchepuko wadau, maswala ya kukaa na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mapokea katika familia zetu ziwe za kiafrika au mataifa mengine ziku za nyuma ambazo wengi wetu wamekulia hasa vijijini watu walikuwa na mazoea kutovaa nguo au kujifunika kama siku hizi, walibaki...
1 Reactions
51 Replies
11K Views
mimi nina mchumba, tuko in relation for 2 years,jana usiku alikuja kwangu mimi kanikuta nafanya usafi wa chumbani,nikaiona novel ambayo niliipenda sana,nilipokua naiangalia its pages nikakuta...
3 Reactions
85 Replies
10K Views
Jamani ndugu wanakijiji cha JF hebu leo tushare Furaha tuzipatazo jf, Kama mimi nikiona avatar na comment za Vin Diesel zinakufurahisha sana, kuna Thread za mshana jr ni za ucommedy sana mi huwa...
8 Reactions
305 Replies
14K Views
Utafanya nini ukifahamu mpenzi umpendae anasaliti? Pendo lako ungefanya nini ukijua mpenzi wako ana mpenzi wake wa kitambo machozi hayawezikuisha kamwe moyo? unavurugwa kuna vitu unaweza...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Mhmh, ngoja tuone Mods watareact vipi maana namjua mmoja wao ana bonge la tambiii Vipi utafiti wako haujaangalia performance kitandani na size ya deshelele?
2 Reactions
2 Replies
1K Views
1.Wanaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini wao hawaolewi: (a)Miili yao imepitwa na wakati? (b)Labda wanashindwa mechi? 2. Wafanyeje ili nao wapate wanaume wa kuwaowa? (a)waifanyie miili...
1 Reactions
128 Replies
24K Views
Ray C sasa ahitaji mpenzi mzee31/05/2014 | Posted by Nasra Abdallah | Burudanimoto | 0 comments | 412 views | MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa sasa hana...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Sijui ntasolve vipi hii kitu ina ushahidi maana nilisahau kwenye mfuko wa suruari nilikuwa nimeivaa jana kwenye kamchepuko. Mbaya zaidi ilibaki moja katika packet ya condom tatu nikasahau...
4 Reactions
133 Replies
12K Views
Miezi mi3 ilyopita nlimeet na shorry fulan she is very good in bed and behaviour too. ila sasa wakat wa kumegana ndio balaa akishafkaga orgasm yan mpaka ananing'ata kabisa mara ya kwanza nlijua...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Zamani iliwezekana lakini kwa sasa haiwezekani. Makabila yaliyoaminiwa zamani kwa sasa kuna watu fake ndani yake. Endeleeni kuchambua makabila
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanandoa naomba tushiriki katika hii mada ili wasio ndoani waweze kuelewa kinachoendelea bila kutishwa na wakosaji. Tujibu maswali: 1. Je ndoa yako ina furaha na amani? 2...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wadau, Kuna baadhi ya condom zina mafuta sana, nahisi kama si nzuri kwangu coz nikiivaa tu nasikia hata misisimuko inapungua. Si vema kuitaja nisije nikaharibu biashara za watu ila kwa kuwa...
0 Reactions
112 Replies
23K Views
Wanaume wa kileo, wengi wetu hatutaki kutambua/kufanya majukumu yetu kama wanaume. Imefikia mahala tunachaguwa mwanamke mwenye uwezo wa kutafuta pesa, ndio tunaona ni wife material. Yote hayo...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Mimi nina miaka 49 nina mke na watoto 3. Nataka rafiki kati ya miaka 30-45. Awe mstaarabu na kujiheshimu. Asiwe na marafiki wengi wa kike. Mzuri kwa sura na umbo. Awe maji kunde au mweusi. Elimu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom