Ununuzi wa vitu na makabila yetu ya tanzania au iwe nje ya tanzania.
Nitaanza na ndugu zangu WAZARAMO: najuwa mpo wengi humu Mzaramo ukimnunulia Khanga kila mwezi atahisi kuwa unamjali na kumpenda...
Habari wanajamvi,
Imekaa hivi, kama mnavojua kombe la dunia linaanza sasa mke wangu sio mpenzi wa mpira hata kidogo naona kuanzia mwezi wa nne anajishughulisha na kufuatilia timu mbalimbali za...
Habari zenu. Wakuu tangu wiki iliyopita, mwanangu (wa kike) amekuwa na tabia kwamba analala, usiku wa manane anamka ghafla huku anasema, 'nadai nyama yanguuu'. Atalia hivyo akidai nyama, na...
Kuna makabila jamani yako kama wale mawaziri mizigo wa CCM, yaani wanaume kwa wanawake kitandani goigoi.
Unakuta mwanamke mweupe, sura nzuriiii, miguuu myembamba kama ya mbu wa dengue, kitandani...
I'm easy going.
I love laugh and enjoy life.
I'm not perfect but I have a great personality.
I'm looking same person. . someone as a friend probably a best friend to talk to n share stuff and...
Guys, habari ya hapo mulipo? jioni hii niko down sana. Najisikia kukata tamaa kwani nilivyopanga haijawa kama nilivyotarajia. Pia ninapitia wakati mgumu sana kibinadamu.
Naomba unifariji jisikie...
Napenda kuwaombea ruhusa wanaume wote kuwa kuanzia tarehe 12 Juni 2014, mashindano ya kombe la dunia yataanza pale Brazil. Hivyo wewe mama, ukiambiwa na mwenzi wako kuwa anakwenda kuangalia mpira...
Ilikuwa mwaka 2004 nilipokuwa kidato cha kwanza katika shule ya sekondary Matema beach iliyopo wilayani Kyela. Katika shule hiyo nilipokuwa nasoma nilibahatika kufahamiana na dada mmoja alikuwa...
Ni vyema kuwa na upendo kama watoto wadogo maana hata sisi kama watu wazima tumezaliwa tukiwa na upendo ila katika makuzi yetu tunanyang'anywa huo upendo na na ndiyo maana tunaishi kwa chuki na...
Siku ya jumanne nilipata msiba wa rafiki yangu ambae alifariki dunia ghafla
Jamaa yangu huyu alikuwa na maandalizi ya kufunga ndoa siku sio nyingi zijazo,kifo chake kilikuwa cha kustua sana na...
Ni matumaini yangu kwamba wote ni wazima wa afya.
Nimepata taarifa asubuhi ya leo kwamba mwana JF mwenzetu Jeska amefiwa na mama yake mzazi huko Bukoba hapo mnamo tarehe 21 May 2014 na...
Habari wadau, kuna dada mmoja hivi hakika ni mrembo haswa ninasomea nae kozi moja, huwa kila nikiwa karibu nae mwili unaenda mbio, nakosa hata maneno ya kumtamkia zaidi ya neno "mambo?".
Ila kwa...
Habari za leo waungwa. Siku za nyuma niliomba ushauri hapa kuhusu uhusiano na mpenzi wangu, mawazo yenu nimeyafanyia kazi ila kinachonishangaza bado ninapatwa na maumivu ya kichwa ninapofikiri...
Nimeona threads nyingi kuhusu waliokutana na vibamia au mabwawa ya Mtera. Inakuwa kama ajali vile wakati kuna njia za kujua masuala hayo kabla ya mtanange! Inaweza isiwe kwa asilimia mia kwa mia...
Jamani dunia ina mambo, viumbe mbuzipori nae ni ishu nowdays? nilikubali kubadili dini (mwanamke hana dini) ili nifunge ndoa na nimpendae ila nilimweka wazi kuwa kitimoto sitaweza mweka mdomoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.