Hivi mwanamke malaya ni yupi?

Hivi mwanamke malaya ni yupi?

Status
Not open for further replies.

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
1. Anaefanya mapezi kwa vile ana enjoy kufanya mapenzi

2. Anaefanya mapenzi ili apate kitu fulani toka kwa anaefanya nae mapenzi

3. Anaefanya mapenzi ili apate umaarufu kwa watu

4. Anaefanya mapenzi kwa kuwaonea huruma wanaomtamani

5. Anayetoka nje ya ndoa kwa kisingizio cha kutokuridhika
6.
7.
8.


Tusaidiane jamani tumjue mwanamke malaya
 
Kapovu ka nini sasa au nimekugusa moja kwa moja hahaha pole toa tu uzoefu kama nimzoefu usione aibu
we si ndo liteja langu......tunajuana mbona,we elezea tu hukuwa na sababu ya kuzuga hapa.

Mi sio sabuni wa kutoa povu..samahani eeeh
 
hapo hata hujaandika jibu,JIBU ni hili,mwanamke malaya ni yule anayegawa mwili wake kama karanga bila kujali,mkubwa au mdogo yeye yeyote anampa hata umbwa atampa kwa kile anachokitafuta iwe pesa au kazi,huyo ndo anaitwa malaya
 
Ndo nyie msiotizamika JF....mchana mwema

Hv wewe ni mweupe mweusi maji ya kunde au kichina zaidi?
Ulitaka unitizame ili nini iweje au unaugonjwa wa kutizama na kutamani?
Si ndio huo hapo kwenye uzi unaitaji majibu?
Jibu basi baby
 
1.Anaefanya mapezi kwa vile ana enjoy kufanya mapenzi 2.anaefanya mapenzi ili apate kitu fulani toka kwa anaefanya nae mapenzi 3.anaefanya mapenzi ili apate umaarufu kwa watu 4anaefanya mapenzi kwa kuwaonea huruma wanaomtamani.... 5.anayetoka nje ya ndoa kwa kisingizio cha kutokuridhika 6. 7. 8. Tusaidiane jamani tumjue mwanamke malaya
Ukishamjua utapata faida gani. Au ndio unasogeza muda ili matokeo ya Form 2 kwenda F3 yatoke ili urudi tena shule.
 
Ukishamjua utapata faida gani. Au ndio unasogeza muda ili matokeo ya Form 2 kwenda F3 yatoke ili urudi tena shule.

Wewe ulishafikiria kuoa malaya?
Au unadhani wote humu ni wapuuzi wa kufikiri
Kwa majibu yako sidhani kama unamaudiano wewe utakuwa na tatizo
Wewe ili kuanza mausiano na mwanamke kipi unazingati?jibu hilo kwanza wewe wa UDSM ili tusonge.
 
!
!
ngoja nielezee kidogo...ipo spana katika ufundi wa baiskeli inaitwa spana malaya. Ina matundu mengi na inafungua sehemu zote isipokuwa kwenye kifua pale. Kuchukua uzoefu huo basi mtu malaya ni yule anayeduu na watu wengi
 
wengi humu ni malaya ndo mana feedback za kudepress usishangae mkuu mmu ni jukwaa la wapenda ngono wengi na wavivu wa kufikiri always wanahoji ngono inaenda vipi but wachache ndo thinkers I CONCUR
 
1. Anaefanya mapezi kwa vile ana enjoy kufanya mapenzi

2. Anaefanya mapenzi ili apate kitu fulani toka kwa anaefanya nae mapenzi

3. Anaefanya mapenzi ili apate umaarufu kwa watu

4. Anaefanya mapenzi kwa kuwaonea huruma wanaomtamani

5. Anayetoka nje ya ndoa kwa kisingizio cha kutokuridhika
6.
7.
8.


Tusaidiane jamani tumjue mwanamke malaya

Malaya ni shamba la bibi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom