Umuhimuu wa michepuko kwa wanaume

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,079
10,034
Kimsingi duni ya sasa ina vitu vinaitwa risks, ili mtu kujiweka salama dhidi ya risks zilizopo hana budi kuw na insurance. Mchepuko ni insurance. nahitaji mchepuko wadau, maswala ya kukaa na mwanamke miezi hakupi haki ya msingi ni uajabu .... mchepuko welcome i real need mchepuko
 
Michepuko kwanza inaleta heshma ndan ya nyumba, inamfanya mke akuone ni mhim kwasababu utakuwa unagombaniwa nje
 
Michepuko kwanza inaleta heshma ndan ya nyumba, inamfanya mke akuone ni mhim kwasababu utakuwa unagombaniwa nje

Kumbe hata mwanamke akichepuka huwa inaleta heshima kwa mume kwamba anakuwa akisumbui khs tendo la ndoa na wala hakuulizi utarudi saa ngapi si eti ee?
 
swala la heshima nimelipenda... like that akizingua huna tabu una substitute bila wasiwasi... michepuko ina raha yake. Nasikia wana hold degree ya ku-care. one love michepuko
 
hiki kitu kinachoitwa mchepuko IS INNEVITABLE... mukulu mwenyew anachepuka itajakuw wewe?
 
mi sipendi kusikia hizi habari za michepuko....basi tu sina jinsi
 
Back
Top Bottom