Ray C sasa ahitaji mpenzi mzee

mkuzi

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
1,627
1,455
[h=1]Ray C sasa ahitaji mpenzi mzee[/h]31/05/2014 | Posted by Nasra Abdallah | Burudanimoto | 0 comments | 412 views |

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama ikitokea basi atamtaka kuwa na miaka kuanzia 60.
Akizungumza katika kipindi cha ‘The Sporah Show’, Ray C alisema anahitaji wanaume wa umri mkubwa, kwa kuwa wanajua wanachokifanya, na kukiri kwamba vijana walichangia katika kurudisha nyuma maisha yake.
Msanii huyo ambaye kwa sasa ameanzisha asasi yake ya kupambana na dawa za kulevya, kutokana na yeye kuwa mmoja wa waathirika wa dawa hizo, alisema katika moja ya mambo anayoyajutia ni kuwa na mahusiano na vijana, jambo ambalo hataki kukumbuka walichomfanyia hadi kudhalilika mbele ya jamii
 
Hata yeye keshakuwa mbibi, mwache ahangaike, c alinitukana na hilo papuchi lake ndo akaamua akampe mbwa!
 
Na vijana ni wabaya kweli hawakawii kuwa walimipiga ray c mande wakati akiwa teja
 
Kwa mikono miwili njoo nikupokee, mimi nimeshapita miaka 60 njoo RAY C kwa jinsi ninavyokupenda, ni PM haraka iwezekanavyo
 
mzee kama rika lakina kingunge ama????

sawa atuachie kina dogo aslay japo na yeye hataki mapenzi ya kitoto
 
Back
Top Bottom