Habari zenu jamani?
Mara nyingi nimekuwa nikija hapa pengine kujifurahisha au kumuombea mtu ushauri au kuisaidia jamii hii kwa ushauri. Lakini sikujua itafika siku nami seriously nakuja hapa...
habari zenu wana mmu!
Kuna binti nimeanza nae mahusiano kama mwezi uliopita.Katika maongezi yake ameonyesha ugumu kwenye suala la kufanya mapenzi ikiwa alishaniambia kuwa ni bikra.Naombeni...
Wana wa MMU.Leo ni birthday yangu,nawakaribisha mje mpate vinywaji na nyama choma,kuna mbuzi mzima kaandaliwa hapa bungoni club ya wazee.
Ukifika utakuta meza kubwa kuna na UA,Vinywaji ramsi...
Viongozi, huwa napitapita huku kwa chati lakini siku hizi mbili tatu nimevutiwa sana na MMU. Nitakuwepo kwa muda kabla sijarudi kule kwenye ban. Nafahamiana na baadhi yenu kama Heaven on Earth...
Kinachomfanya mchepukaji achepuke ni ukweli kwamba aliingia kwenye ndoa/mahusiano kwa kusukumwa na tamaa za mwili badala ya upendo na ndo maana hatulii na hataweza kutulia labda atulizwe na Neema...
Hivi hakuna jina lingine la kumuita Mpenzi wako zaidi ya BABY??? Maana neno BABY limepoteza maana yake halisi,kuna girls wanaitana BABY kisa ni ma-BFF sijui,siku hizi hadi mahousegirl wanaenda...
=> Ni UTAFITI, simsemi mtu, ila ndio tabia za WANAUME WENGI WENYE vitambi ni wavuvi wa kufikiri, wazembe, wana hasira za hovyo na zisizo kuwa na msingi..
=> Mara nyingi wengi wao ni wavivu mno...
Unakutana na sister du kwenye daladala, bank, cofee shop au popote pale baada ya kufahamiana wakati mnaagana unamuomba namba ya simu anakujibu ''nitakupa siku nyingine'', unamwambia siku nyingine...
Inasikitisha sana, lakini ndo vile tena. Mwanaume anaoa huku anauwaza mchepuko wake, mwanamke anaolewa huku kidumu kiko pembeni. Maskini... kwanini hatuwazi juu ya baadaye, je, hatujui nini...
Habari za saa hizi wanajamvi,
Nina rafiki yangu moja mzuri alinena na kuniambia "mapenzi ni mazoea". Maneno hayo machache nimegundua yamebeba uzito mwingi na yana maana kubwa na pana.
Katika...
Takwenyaaaaa
some one is in loveee
Jamani ndugu zangu mimi mahaba haya yatanimaliza sijui kuhifadhi rohoni mwenzeni hata kama niliumizwa vipi ni mwepesi wa kusahau sana na kuanza upya as I speak...
Nataka kuoa, nina miaka 32, natafuta mtu wa kusaidiana naye maisha. Nina watoto 4, mmoja wakiume wa 3 nilizaa nikiwa chuo tena field, huyo mwingine kazaliwa ana mwaka sasa, ila hao niliozaa nao...
Kataa au bisha ila ukweli ndo huo. Wanaume asilimia mia tisa tisini na tisa point tisa wanachepuka. Ni ngumu kwa wadada walio olewa au kuwa na wachumba/boyfrends kutoka nje ya mahuaiano ila wa...
Hallooo ,
subkuch tiike wana jf
Nilikuwa na mahusiano na nurse mmoja katika mji ambako nilizaliwa, baba na mama walikua wanaishi huko.Kipindi hicho nilikuwa field huko home. Baada ya kumaliza...
"Babe unaweza kuniletea popcorn...babe I want to ,go movie kesho...babe on saturday I need to go swimming...babe in the evening
lets go Marrybrown..."heeeee
Mungu wee hawa wasichana wa...
Guys hivi ni kweli kwamba kuwa na wife mwenye makalio makubwa kunaongeza risk ya kumegewa!?. Mi babe wangu amajaaliwa haswaa hadi naogopa yani.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Tuchukulie kuwa wewe ni daktari mkuu wa eneo fulani na upo kwenye ndoa
Siku moja ukiwa kazini unasikia habari za kigaidi eneo husika kuwa kutokana na habari za kiintelijensia kuna mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.