Natafuta rafiki wa kike.

Natafuta rafiki wa kike.

miley

Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
87
Reaction score
14
Mimi nina miaka 49 nina mke na watoto 3. Nataka rafiki kati ya miaka 30-45. Awe mstaarabu na kujiheshimu. Asiwe na marafiki wengi wa kike. Mzuri kwa sura na umbo. Awe maji kunde au mweusi. Elimu ya uelewa. Asiwe kaolewa. anajitegemea/ kazi au mjasiriamali. Tuwasiliane ktk. PM au e mail ggmil@yahoo.com.facebook@milanzi
 
Embu weka sifa ama wasifu wa ukoo wa mlanzi kwanza kabla yakuingja chaka
 
hehehe macho yangu au ebu ongeza size maandishi nisome vizuri....miaka 49 au umesahau miaka yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom