Uzoefu kwa tuliopo kwenye ndoa

Uzoefu kwa tuliopo kwenye ndoa

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
Ndugu zangu wanandoa naomba tushiriki katika hii mada ili wasio ndoani waweze kuelewa kinachoendelea bila kutishwa na wakosaji. Tujibu maswali:

1. Je ndoa yako ina furaha na amani?

2. Kinacho zidi kukuweka ni furaha ya ndoa na upendo ama uvumilivu ?

3. Unahisi ni nini kinachoondoa furaha ulioitazamia kabla ya ndoa ?

Unashauri nini mtu asie na ndoa juu ya haya maswala ya ndoa?
 
Ndugu zangu wanandoa naomba tushiriki katika hii mada ili wasio ndoani waweze kuelewa kinachoendelea bila kutishwa na wakosaji. Tujibu swali: 1. Je ndoa yako ina furaha na amani? 2. Kinacho zidi kukuweka ni furaha ya ndoa na upendo ama uvumilivu ? 3. Unahisi ni nini kinachoondoa furaha ulioitazamia kabla ya ndoa ? Unashauri nini mru asie na ndoa juu ya haya maswala ya ndoa?

ingekuwa vizuri ungeanza wewe kutupa uzoefu wako...
 
Ndugu zangu wanandoa naomba tushiriki katika hii mada ili wasio ndoani waweze kuelewa kinachoendelea bila kutishwa na wakosaji. Tujibu swali: 1. Je ndoa yako ina furaha na amani? 2. Kinacho zidi kukuweka ni furaha ya ndoa na upendo ama uvumilivu ? 3. Unahisi ni nini kinachoondoa furaha ulioitazamia kabla ya ndoa ? Unashauri nini mru asie na ndoa juu ya haya maswala ya ndoa?

si ungeanza we kutoa mauzoefu yako
 
Ndoa ina wakati wa raha na wakati wa karaha, ila ndoa ni nzuri hasa kama iliolewa na uliye mpenda sio ilimladi tu, raha 25% ya muda wa siku karaha 75% , na vice versa ya hiyo
 
Upande wangu:
1. Upendo upo mana mie nampenda mwenza wangu. Amani hutoeka mara kwa mara mana I like sex she don't.
2. I stay for the sake of my kids and social respect
3. Sexual dissatisfaction
4. Kijana asie ndoani nashauri usioe binti alie na kitu unachohisi ni kasoro, hata ndogo vipi usiidharau. These people don't change easily.
 
Ndoa ni raha sana tena ukiolewa na umpendae,kiukweli naenjoy sana.

He cares,tunashirikiana kwa kila jambo,tunaheshimiana,na muda mwingi especially weekend we spend together,either home or outing,tuna mtoto mmoja,we really enjoy,

Kubwa zaidi kila mmoja anamuelewa mwenzake vizuri

Mungu ni priority katika maisha yetu,we do fellowship kila siky before kulala as a family,every Sunday we attend the church,na kila mmoja anajali ndugu wa mwenzake

Sawa,makwaruzano yapo,ila we do talk,we communicate,kila mmoja anajishusha,na samahani imetawala sana maisha yetu

Sometime tunapitia mambo magumu,hata hela ya kula ndani tunakosa,lakini tunatiana moyo tunavumilia,na tukipita njiani hakuna anaejua tumelala njaa

Ndoa tamu only if umefanya maamuzi sahihi ya kumchagua mwenza

In bed,ndo usiseme,wote tunaridhika,yani ni full kuduuu hadi chumba chetu tuliamua kukitenga kiko mbali na vyumba vingine ili wasisikie kelele zetu

Nawasilisha,maswali yanaruhusiwa
 
Hongera sana. Naamini walio na shaka na ndoa wamejifunza kitu na wamevutika timuni
 
Mtende kiukweli nimependa sana analysis ya ndoa yako
 
Last edited by a moderator:
Mtende umenipa somo mie mwanandoa mtarajiwa. Salute kwa analysis nzuri.
 
Upande wangu:
1. Upendo upo mana mie nampenda mwenza wangu. Amani hutoeka mara kwa mara mana I like sex she don't.
2. I stay for the sake of my kids and social respect
3. Sexual dissatisfaction
4. Kijana asie ndoani nashauri usioe binti alie na kitu unachohisi ni kasoro, hata ndogo vipi usiidharau. These people don't change easily.

Umefunguka vizuri mno.
Naona ulioa for social respect.Sasa inakulazimu uendelee na hiyo ndoa for the same reason.
 
Sio ndoa tu, hata uchumba ni nusu ndoa, kuna mengi tunapitia.
 
MARRIAGE THE HIGHEST HYPOCRYTICAL AND CONSPIRATORY INSTITUTION! The more i live the more i believe we are all living a big fat lie! Im just sayin not talking about you specifically! Yes you!
 
1. Ndio, ndoa yangu ina furaha na amani?

2. Kinacho zidi kukuniweka ni furaha ya ndoa na upendo, uvumilivu was already part and parcel of me even since I was single!

3. Unahisi ni nini kinachoondoa furaha ulioitazamia kabla ya ndoa ? For me, sina cha kunungunika, kila kitu kipo sawa kwa sasa!

Unashauri nini mtu asie na ndoa juu ya haya maswala ya ndoa? Ndoa inaweza kuwa paradisho ama jehanamu yako, muombe MUNGU akutafutie mwenza atakayekufaa ... kwa akili yako na macho yako, u'll end up deceived!!Mwisho NDOA wik always be better than be single as it is a union of two single!!
 
Ndoa ni raha sana tena ukiolewa na umpendae,kiukweli naenjoy sana.

He cares,tunashirikiana kwa kila jambo,tunaheshimiana,na muda mwingi especially weekend we spend together,either home or outing,tuna mtoto mmoja,we really enjoy,

Kubwa zaidi kila mmoja anamuelewa mwenzake vizuri

Mungu ni priority katika maisha yetu,we do fellowship kila siky before kulala as a family,every Sunday we attend the church,na kila mmoja anajali ndugu wa mwenzake

Sawa,makwaruzano yapo,ila we do talk,we communicate,kila mmoja anajishusha,na samahani imetawala sana maisha yetu

Sometime tunapitia mambo magumu,hata hela ya kula ndani tunakosa,lakini tunatiana moyo tunavumilia,na tukipita njiani hakuna anaejua tumelala njaa

Ndoa tamu only if umefanya maamuzi sahihi ya kumchagua mwenza

In bed,ndo usiseme,wote tunaridhika,yani ni full kuduuu hadi chumba chetu tuliamua kukitenga kiko mbali na vyumba vingine ili wasisikie kelele zetu

Nawasilisha,maswali yanaruhusiwa

waooo....hongera dada...
 
MARRIAGE THE HIGHEST HYPOCRYTICAL AND CONSPIRATORY INSTITUTION! The more i live the more i believe we are all living a big fat lie! Im just sayin not talking about you specifically! Yes you!

hahahah,lara hivi who hurt you hadi unawaza hivoo...bila baba na mama unajua usingekuwepo?
 
1. Ndio, ndoa yangu ina furaha na amani?

2. Kinacho zidi kukuniweka ni furaha ya ndoa na upendo, uvumilivu was already part and parcel of me even since I was single!

3. Unahisi ni nini kinachoondoa furaha ulioitazamia kabla ya ndoa ? For me, sina cha kunungunika, kila kitu kipo sawa kwa sasa!

Unashauri nini mtu asie na ndoa juu ya haya maswala ya ndoa? Ndoa inaweza kuwa paradisho ama jehanamu yako, muombe MUNGU akutafutie mwenza atakayekufaa ... kwa akili yako na macho yako, u'll end up deceived!!Mwisho NDOA wik always be better than be single as it is a union of two single!!
Safi sana hii nimeipenda. Its encouraging.
 
hahahah,lara hivi who hurt you hadi unawaza hivoo...bila baba na mama unajua usingekuwepo?
WHY DO YOU ALWAYS FIND SOMETHING OR SOMEONE TO BLAME? No body hurt me! ITS THE TRUTH!

EMBU NIAMBIE NDOA GANI ISIYOKUWA NA SIRI, COVERING, DRESSING AND HIDING OF FACTS? The thing is IM A SMART PERSON I SEE THROUGH PEOPLE but i know better to shush it up, so as to let PEOPLE LIVE A LIE!

THAT IS WHY I SAID WE AND NOT YOU ! Lets face it we are LYING TO EACH OTHER ON THE ACTUAL PACKAGE! WE EVEN DO LIE TO OURSELVES FROM TIME TO TIME,! Mmmmmmh!
 
Back
Top Bottom