Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,714
mimi nina mchumba, tuko in relation for 2 years,jana usiku alikuja kwangu mimi kanikuta nafanya usafi wa chumbani,nikaiona novel ambayo niliipenda sana,nilipokua naiangalia its pages nikakuta niliandikaga maneno fulan ya kumsifu demu wangu wa zamani kama vile i love you so much dear,i will never hurt you, and so on,hayo maneno niliyaandika nikiwa bado hatujawa na relation na huyu,basi nikachukua pen nikawa nayafuta,yeye alipoona akanyakua kitabu akayasoma,from there akakasirika acha chanachana kitabu na kukitupia ndan ya ndoo ya maji,na akasema ameniacha,anaogopa eti kama niliweza kuwa na mtu nikamthamini kiasi kile then tumeachana,kumbe hata yeye tutaachana tu,so bora atimke mapema,Jaman nifanye nini? Na nilikua karibuni kutangaza ndoa,am so confused.Ushauri wenu plz