Japkas JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 4,075 Reaction score 6,616 May 31, 2014 #1 Zamani iliwezekana lakini kwa sasa haiwezekani. Makabila yaliyoaminiwa zamani kwa sasa kuna watu fake ndani yake. Endeleeni kuchambua makabila
Zamani iliwezekana lakini kwa sasa haiwezekani. Makabila yaliyoaminiwa zamani kwa sasa kuna watu fake ndani yake. Endeleeni kuchambua makabila
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,551 Reaction score 20,060 May 31, 2014 #2 asante kwa thread
B busness Member Joined May 1, 2014 Posts 27 Reaction score 9 May 31, 2014 #3 Lazima kabila lijulikane mbona mkienda police mnaulizwa kabila hamsemi chochote acha hizo basi
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 May 31, 2014 #4 fake kwenye orijino hailingani na fake kwenye fake, ya mwisho inakuwa fekero.
kuchangumu JF-Expert Member Joined Apr 2, 2014 Posts 724 Reaction score 290 May 31, 2014 #5 Nini.....
VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,140 Reaction score 18,007 May 31, 2014 #6 unapaswa kula ban kwa kuleta ukabila.nya.u
Japkas JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 4,075 Reaction score 6,616 Jun 1, 2014 Thread starter #7 Hakuna kabila lililokosa kasoro labda kama limeshushwa toka mbinguni.
Japkas JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 4,075 Reaction score 6,616 Jun 1, 2014 Thread starter #8 Ukitaka kuona uzuri wa kuchambua watu subiri uanze kuchambuliwa.
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 61,968 Reaction score 127,364 Jun 1, 2014 #9 Kongosho said: fake kwenye orijino hailingani na fake kwenye fake, ya mwisho inakuwa fekero. Click to expand... Asantee....
Kongosho said: fake kwenye orijino hailingani na fake kwenye fake, ya mwisho inakuwa fekero. Click to expand... Asantee....