Kwa nini wanawake/wasichana wanene wenye makalio hawapati wanaume wa kuwaowa?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,288
2,000
1.Wanaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini wao hawaolewi:

(a)Miili yao imepitwa na wakati?
(b)Labda wanashindwa mechi?

2. Wafanyeje ili nao wapate wanaume wa kuwaowa?

(a)waifanyie miili yao diet/kujikondesha ili wawe wembamba?
(b)Waanze kuwatongoza wanaume?

NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
 
charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,322
1,225
Sababu
1.Makalio makubwa yanamaliza nafasi,nyumba zenyewe za kupanga

2.Maisha ni Vits na Nissan March, sasa budget ya kununua shockabsober kila wiki inatoka wapi?

3.Makalio makubwa yanamaliza sabuni,mafuta etc

4.Watu wapo kiuchumi zaidi

5.Unaswali la nyongeza?
 
Wafanyeje ili nao wapate kuolewa?
 
HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,613
2,000
Sababu
1.Makalio makubwa yanamaliza nafasi,nyumba zenyewe za kupanga

2.Maisha ni Vits na Nissan March, sasa budget ya kununua shockabsober kila wiki inatoka wapi?

3.Makalio makubwa yanamaliza sabuni,mafuta etc

4.Watu wapo kiuchumi zaidi

5.Unaswali la nyongeza?

Kwa mtazamo wangu mimi babu yenu, suala la kuolewa linaangalia mambo mengi zaidi na si umbile la mwanamke pekee yake. Kuna vitu zaidi ya hapo! Sina hakika kama ni sahihi kuwa wenye umbile hilo ndiyo wengi ni vimada, binafsi nimeshuhudia vimada wengi tu ambao wana maumbo tofauti tofauti.

Suala la mtu kuwa kimada wa mtu linategemea na makubaliano ya hao watu wawili na namna ambavyo kila mmoja wao kavutiwa na mwingine. Hakuna formula ya wenye makalio makubwa ndo huwa vimada, vinginevyo kusengekuwa na attempt ya baadhi yao kuyaongeza! Nafikiria kipuuzi, sidhani kama baadhi ya wadada wange-attempt kuongeza makalio kama wangekuwa wanaishia kuwa vimada!
 
Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,288
2,000
Uhhh thank you Lord mi kipotabooo na wezele ukaninyima mana piga ua garagaza ntaolewa tuuuuuu...

ImageUploadedByJamiiForums1401181182.287608.jpg upo hivi badiebey?
 
Last edited by a moderator:

illuh

JF-Expert Member
Mar 17, 2014
1,259
1,195
Japo mimi ni mwembaba.....Ila kwa hilo nalipinga kiasi coz naona wengi tuu wapo wanaoolewa Kuolewa ni bahati ya mtu...

Sema tuu kwa kuwa wanaume wengi wamekuwa wakiyatamani makalio makubwa just to know test yake..ila unakuta sio chaguo la huyo mwanamme kuwa anapenda mwanamke mwenye makalio makubwa..

Kila mtu anachaguo lake wapo wanaopenda wanene na makalio
Wapo wanaopenda wanene wenye maziwa makubwa
Wapo wanaopenda vimodo ili waweze kuwakunja ipasavyo

Na pia tukumbuke kila umbo la mwanaume lina mtu wake..Pia kila mcholingo wa mwanaume una size yake

Huwezi kuniambia wewe mwanaume eti una Mcholingo mdogo unaenda kuchukua mwanamke mnene, anamakalio makubwa...utakuwa we kila kukicha humfikishi mwanamke...

Huwezi kuniambia wewe mwanamme mnene una kintambi unamchukua mwanamke mnene, makalio makubwa...kamwe zitakuwa hazikutani vizuri..

Mwanaume mnene anaendana na mwanamke mwembamba
Kama ilivyo mwanamke mnene na mwanaume mwembamba wanaendana..

*******************************************************1.Wanaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini wao hawaolewi:

(a)Miili yao imepitwa na wakati?
(b)Labda wanashindwa mechi?

2. Wafanyeje ili nao wapate wanaume wa kuwaowa?

(a)waifanyie miili yao diet/kujikondesha ili wawe wembamba?
(b)Waanze kuwatongoza wanaume?

NALILETA MEZANI TULIJADILI.
Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?
 
illuh

JF-Expert Member
Mar 17, 2014
1,259
1,195
Unene wa wastani ndio mzurii jamaniiii,wembamba wanatishaaa

Kwa mtazamo wangu mimi babu yenu, suala la kuolewa linaangalia mambo mengi zaidi na si umbile la mwanamke pekee yake. Kuna vitu zaidi ya hapo! Sina hakika kama ni sahihi kuwa wenye umbile hilo ndiyo wengi ni vimada, binafsi nimeshuhudia vimada wengi tu ambao wana maumbo tofauti tofauti.

Suala la mtu kuwa kimada wa mtu linategemea na makubaliano ya hao watu wawili na namna ambavyo kila mmoja wao kavutiwa na mwingine. Hakuna formula ya wenye makalio makubwa ndo huwa vimada, vinginevyo kusengekuwa na attempt ya baadhi yao kuyaongeza! Nafikiria kipuuzi, sidhani kama baadhi ya wadada wange-attempt kuongeza makalio kama wangekuwa wanaishia kuwa vimada!umeongea kweli
 
Daud omar

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
2,459
1,225
Sababu
1.Makalio makubwa yanamaliza nafasi,nyumba zenyewe za kupanga

2.Maisha ni Vits na Nissan March, sasa budget ya kununua shockabsober kila wiki inatoka wapi?

3.Makalio makubwa yanamaliza sabuni,mafuta etc

4.Watu wapo kiuchumi zaidi

5.Unaswali la nyongeza?

Hana swali nazani, labda umwambie jinsi ya kuawasaidia
 
MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
17,482
2,000
tatizo hao wanawake wenye makalio makubwa ni wa show umetoka nae ndio raha yake ila tatizo wanatamanisha watu wengi utahisi unachapiwa halafu hutataka iwe siri ya ndani
 
Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,847
2,000
Wanawake wanene wenye makalio yanayocheza ndiyo wanaongoza kwa kutamaniwa na kuonjwa.
 
Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,817
2,000
Wanene majasho sana, but kuna jamaa yangu huwa ananiambia Wanawake wembembe wana Ishu kubwa (YAANI BWAWA LA MTERA), majiiii, yaani full kuogelea! ila wanene, wana ishu ndogo, motooooo,tamuuuuuu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom