Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake jamani hawaaminiki hata kidogo,! nina mchumba wangu, kwel tulikuwa tunapendana sana hapo mwanzo lakini kila muda ulivyozidi ndivo mapenzi yake kwangu yalivyozidi kupungua, nilijaribu...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Jamani mi mniambie tuu nini shida umeme tunakatiwa muda wooote wa mjadala bungeni na mchana wakiuacha kidogo ujue kwanzia ile lunch time ni mpk 4usiku ndio ujee. Hii ni Arusha hata yale maeneo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za usiku, yani sina hata tone la usingizi hadi mda huu kuna siku tulikuwa tunapiga stori na rafiki yangu mmoja hivi katika mazungumzo yetu tukajikuta tunaongelea suala la kukutana au...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Kama tujuavyo ni rahisi sana kupenda na kuingia katika mahusiano, ila ni ngumu pia kutoka katika Upendo hata kama ni wa siku moja. Nafsi ikipenda, asikuambie mtu. Tumeshuhudia KE/ME wakipenda hata...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Do u know who is this woman? Any woman can can spend a man's money, ride his car, order voucher, order off menu, spending time at beach, spending at glorious and accepted residents around the...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Je, unaweza kuvaa nguo ya ndani ya mpenzi wako?soma hii. nguo ya ndani inayoweza kuvaliwa na watu wa jinsia zote sasa imeanza kuuzwa madukani nchini Marekani. Hii ni baada ya kampuni moja nchini...
1 Reactions
71 Replies
9K Views
Mimi nina mdogo wangu ameniletea hilo jambo kwamba ana mchumba wake ambaye wanaishi wote ila wanatarajia kufunga ndoa mwanzo wa mwenzi wa pili mwakani tatizo ni kwamba huyu mwanamke ana mimba sasa...
1 Reactions
94 Replies
33K Views
Habari wadau, Mimi ni kijana ambaye nilimpa msichana mmoja mimba ambaye tayari alishakuwa na mtoto but mumewe alishakufaga, Now naishi na huyu msichana but nashindwa kumwambia amlete mtoto wake...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Suala la kuwa na mpenzi waweza amua muda wowote ule utakao lakini suala la ni nani atakaa na wewe daima ni suala la wawili kushirikishana na kukubaliana. Kama mlikutana bar, club au sehemu yoyote...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Juzi niliwaambia hapa kuwa shemeji/wifi yenu kanibutua kibao kimoja kizito sana, eti kisa nimepigiwa simu na mwanamke (ambae ni rafiki yangu kikazi). Siku iliyofuata nikajua ndio itakuwa ni ya...
8 Reactions
79 Replies
10K Views
Habari za asubuhi wapendwa. Nina mchumba wangu ambae anasoma chuo sasa, na mara nying hupenda kuja kushinda kwangu weekends. Sasa sijui ni nini, huyu mdada anapenda sana kuvaa nguo zangu na...
2 Reactions
104 Replies
13K Views
Nina rafiki yangu mwaka jana ameoa na tayari wana mtoto mmoja na mkewe sasa hivi karibuni mwanaume alikuta sms kwenye simu ya mkewe kwamba mtoto wako anaumwa tuma hela na kweli pesa ikatumwa kama...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Jamani shemeji/wifi yenu hata sijui ilikuwaje, maana ninavyomfahamu ni mpole sana japokuwa anasumbuliwa mno na wivu. Jana nimerudi zangu niko 4GB tu, nikaweka simu hapo kwenye chaji nikaenda...
1 Reactions
87 Replies
9K Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33 ninaishi na VVU natafuta mwenza ambaye naye ana VVU umri 33 had 40 mm ni mwajiriwa katika kampuni moja tafadhal nipo serious mimi natumia dawa na nipo na afya...
1 Reactions
51 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu. Nimetoka kuchukua jiko la watu wa kabila moja kubwa kaskazini huko hasara tupu kwa kweli tulikua kwenye uchumba zaidi ya miaka 2 unusu aliniambia ye b/k kwahiyo nimvumilie...
4 Reactions
171 Replies
24K Views
Ushindani wa namba umekuwa mkubwa sana matokeo yake wakina dada na wakina mama wameamua kutafuta plan B nayo si nyingine ni kutuchawia, tunarogwa sana, tunalishwa vitu vya ajabu, wateja wakubwa wa...
2 Reactions
76 Replies
12K Views
Nawasabahi wote wanaMMU. Kuna wakati unadhani ya kwako mazito hadi usikie ya mwenzako aisee. Rafiki yangu yuko kwenye mahusiano na jamaa na wana mtoto sasa eti kamtumia ujumbe wa sms jana 'kuna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii
Looking for friends
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Back
Top Bottom