Natafuta Mwanaume mwenye VVU

Dine

Member
Apr 19, 2012
57
6
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33 ninaishi na VVU natafuta mwenza ambaye naye ana VVU umri 33 had 40 mm ni mwajiriwa katika kampuni moja tafadhal nipo serious mimi natumia dawa na nipo na afya njema huwezi nijua naomba kwa aliye serious anitafute kwa pm na awe mkristo maana mimi ni mkristo.
 
Hongera kwa ujasiri Mungu atakusaidia na utapata mwenza
 
mm ni mwanamke mwenye 33y ninaishi na vvu natafuta mwenza ambaye naye na vvu umr 33 had 40 mm ni mwajiriwa ktk kampun moja tafadhal nipo serious mm natumia dawa na nipo na afya njema huwez nijua naomba kwa aliye serious anitafute kwa namba0683717982 na awe mkristo maana mm ni mkristn

sorry for what you have,, Bt i recomend usiweke picha for privacy issue,, kuna watu humu jf wanaweza wakawa friends and family..so utakuwa umejiexpose..

Really iam sorry... those medicines,, they are hard,, arent easy...
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33 ninaishi na VVU natafuta mwenza ambaye naye ana VVU umri 33 had 40 mm ni mwajiriwa ktk kampuni moja tafadhal nipo serious mm natumia dawa na nipo na afya njema huwez nijua naomba kwa aliye serious anitafute kwa namba 0683717982 na awe mkristo maana mm ni mkristo

Ubaguzi huo...kuwa na VVU si sababu ya kujitenga kimahusiano na wasiokuwa na VVU. Kupenda ni kupenda tu, uwe au usiwe na VVU, zipo discordant couples nyingi tu na wanapendana kwa dhati!
 
Ubaguzi huo...kuwa na VVU si sababu ya kujitenga kimahusiano na wasiokuwa na VVU. Kupenda ni kupenda tu, uwe au usiwe na VVU, zipo discordant couples nyingi tu na wanapendana kwa dhati!

Sasa yeye amemtaka mwenye VVU huwezi mlazimisha!ndio chaguo lake!
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33 ninaishi na VVU natafuta mwenza ambaye naye ana VVU umri 33 had 40 mm ni mwajiriwa ktk kampuni moja tafadhal nipo serious mm natumia dawa na nipo na afya njema huwez nijua naomba kwa aliye serious anitafute kwa namba 0683717982 na awe mkristo maana mm ni mkristo

Unaishi wapi?mie sina vvu.ila ni pm tuongee nipo tayali kuish na mwenye vvu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom