Nimeoa mwanamke ambaye hajishughulishi kitandani wala hataki nimshike

Nimeoa mwanamke ambaye hajishughulishi kitandani wala hataki nimshike

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,041
Reaction score
13,379
Habari zenu wakuu.

Nimetoka kuchukua jiko la watu wa kabila moja kubwa kaskazini huko hasara tupu kwa kweli tulikua kwenye uchumba zaidi ya miaka 2 unusu aliniambia ye b/k kwahiyo nimvumilie hadi ndoa ndo 2ta duu nikamkubalia.

Kweli tumefunga ndoa miezi sita sasa imepita sijakuta cha bikra wala birika nimeambulia kopo la kufa mtu, pili gogo hajigusi hata kutoa mguno wa uongo kitandani kama nimenunua sex dol vile, hataki kufanyiwa love play, hataki massage kwa ufupi nimeula wenye uzoefu hivi atakuja kubadilika?

Wadada wa kichaga ndo mlivyo au ananiigizia?
 
Kwani hujui wachaga walivyo?pole sana,dunia ya leo unaamini kuna bikra?
 
Hahahahaaaa, hujajua sehemu ya kumshika,au we team kibamia au.?
 
bora wewe umekaa nae miezi sita,mimi nilikaa nae miezi miwili,ndoa iligharimu more than 10mil.kuja hataki kutoa mzigo nikaamua kumpiga chini.sidhan kama nitaoa tena ila nataka nitafute take away tu.kiufupi nmechanganyikiwa bora take away
 
Mbona haya maandishi yako hayaonyeshi kama wewe ni mwenye subira..? Ukae miaka 2 unasubiri..? Stop taintin chaggas bana..
 
Dunia ina vituko kwanza angalia pande zote
bint hawez toa miguno kama hujamkunaa kweli alafu lazma ujue kwa nn hapend kuromance na wew kuna sababu iliyojificha
 
Mfundishe unavyotaka....kwanza kosa kubwa ulioa ili uone bikra siyo? Imekuja kinyume na matarajio yako tayari ni doa kwako hata angejipinda vipi bado hiyo kitu ingekuwa kero.

Uwoga unamtesa naye imekuwa kinyume na matarajio yake,hana raha kwa yale yaliyomtokea.

Unaposema kopo una maanisha nini labda? Tayari unatafuta weakness zipo wapi? Si hilo tu utaona na mengine mengi endelea kuzitafuta tu.

Mwisho put the past behind you,matarajio yako yote tupa kule,anza upya,onyesha upendo kwa mkeo,mfanye afurahie sex asione ni msalaba kwake,piga romance sana before nyama kwa nyama,kabla ya faragha hakikisha mood yake iko poa. Mwisho mfundishe ile namna unayotaka,mfundishe kidogo kidogo,kila siku mpe style moja,muelekeze wapi ukiguswa unafurahi, utaona na yeye anavyofunguka,kuza kuku wako mwenyewe uje ufaidi mayai.
 
Umetaka tu kuwazalilisha wachaga if you really love her mfundishe sio kukimbilia huku jf
 
Mhhh Mwanaume kama wewe wa kusubiri bado wanaexist ? i see basi sawa
 
Wanawake walamike na wanaume walalamike? What a shame?

Wanawake wamewekwa mikononi mwetu tuwainfluence tutakavyo sisi wawe na huo uwezo tunao. Unapoacha kuutumia ukaja kulalamika, unakua huitendei haki hii taasisi ya Uanaume. By any standard ya Uanaume, Una shida kwa binafsi yako kwanza pili ni huyo mwenza wako.
 
Back
Top Bottom