Kumbe hawa wavaa sketi wetu kumbe ni bure kabisa

Galadudu

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
2,305
772
Juzi niliwaambia hapa kuwa shemeji/wifi yenu kanibutua kibao kimoja kizito sana, eti kisa nimepigiwa simu na mwanamke (ambae ni rafiki yangu kikazi).

Siku iliyofuata nikajua ndio itakuwa ni ya mtifuano zaidi maana alisema kwamba:- na kesho nataka nimjue huyo malaya wako ni nani.....cha kushangaza nilipofika home alikuwa mpole tu, lakini tulipomaliza kula akaniambia kuwa:- kumbe ulisema kweli kuwa yule mwanamke ni rafiki yako kikazi, maana nilimpigia mchana na akaniomba sana samahani(moyoni nikawa najiuliza kuwa kumbe ile namba aliikariri kwa haraka namna ile)

Sasa baada ya msosi wa usiku mimi nikabaki naangalia TV ilikuwa ni marudio ya ripoti ya ule ujambazi wa mabilioni ya Escrow ghafla mwenzangu akaibuka na swali zito lililoniachia maswali mazito kichwani kwamba:- Hivi ESCROW ndo nini?

Kwa kweli nilishindwa kumjibu nikabaki najiuliza tu kwamba hivi hawa watu wameumbwaje lakini, yaani wanakariri vitu vya kipuuzi lakini wanashindwa kabisa kuelewa mambo ya maana, zile namba za simu za mtu ambae mimi huwa nawasiliana nae mara kwa mara lakini sijazikariri, yeye alipoziona kwa muda mfupi tu akazikariri, hili jambo ambalo limekuwa kama wimbo sasa nchi nzima yeye hata halijui kweli kwa wataalamu wa mambo ya viungo waniambie ubongo za hawa watu ziko tofauti na za kwetu? na kama ni tofauti na za kwetu waniambie ni kwanini ziwe tofauti?
 
Hivi unadhani mwanaume aliyekomaa korodani zake huwa anaongea ongea habari za nyumbani na affairs zake na mkewe?

Ninyi vijana wa kizazi hiki sijui mna shida gani, ndio wengi wenu hata hamjulikani jinsia zenu...

Mnakera sana na mnafaa kutiwa bakora...

Hahahaaaa huuuuuu uwiii mbavu zangu nene jaman
 
Hivi unadhani mwanaume aliyekomaa korodani zake huwa anaongea ongea habari za nyumbani na affairs zake na mkewe?

Ninyi vijana wa kizazi hiki sijui mna shida gani, ndio wengi wenu hata hamjulikani jinsia zenu...

Mnakera sana na mnafaa kutiwa bakora...

Kumbe unataka kujua kama korodani zimekomaa....!!!! sio bure hapo kuna jambo
 
sijaelewa hapa unataka tujadili nn? na mke wako akichambuliwa hapa unajiskia sawa tu? huyo mke kazi anayo
 
Hivi unadhani mwanaume aliyekomaa korodani zake huwa anaongea ongea habari za nyumbani na affairs zake na mkewe?

Ninyi vijana wa kizazi hiki sijui mna shida gani, ndio maana wengi wenu hata hamjulikani jinsia zenu...

Mnakera sana na mnafaa kutiwa bakora...

Hahaaa
Anyway.....leo atakuja na jana mke wangu hakuvaa chupi...jana mke wangu alinyoa nywele......
 
yaan umekalisha mipumbu yako na kuanza kuandika upuuzi huu????
Nini dhamira yako?
.. Tujue jinsi mke wako alivyo zuzu?
.. Tujue jinsi ww ulivyokilaza?
Kj kweli ww
 
Back
Top Bottom