Sakata la escrow limemrudisha mchumba wangu

Sakata la escrow limemrudisha mchumba wangu

Joined
Aug 6, 2014
Posts
89
Reaction score
14
Wanawake jamani hawaaminiki hata kidogo,! nina mchumba wangu, kwel tulikuwa tunapendana sana hapo mwanzo lakini kila muda ulivyozidi ndivo mapenzi yake kwangu yalivyozidi kupungua, nilijaribu kufuatilia lakini sikubahatika kupata sababu iliyosababisha mpaka aanze kunichukia. Sasa wana JF kinachonishangaza ni kwamba baada ya sakata la escrow, nashangaa amekuja kwa kasi eti nakupenda huku akirembua mimacho, kufuatilia kumbe alikuwa na mahusiano na mtoto wa mtuhumiwa wa escrow. Ameona ck hz mbili hampi matumizi ya kutosha amerudi. Wajameni nimfanyeje huyu? inaonekana ni msaka hela
 
Nakushauri upeleke jina lake kwa Zitto Kabwe akaliingize ktk list ya watuhumiwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom