Ilikuwa majira ya saa 4:20 usiku wa tarehe 22/11/2014 hyo ni siku ya pekee ktk maisha yangu ni siku ambayo Mungu amenitendea makuu kwa kunipa zawadi isiyo na mfano ktk maisha yangu.
Nakushukuru...
Lonjino ni mwajiriwa katika kampuni moja ya usambazaji wa nyama.
Siku moja jioni baada ya kumaliza kazi zake za siku aliamua aingie katika chumba baridi cha kuhifadhia nyama kukagua kitu na kwa...
Tukio lililotokea siku sio nyingi huko Uganda na kusambaa kutokana na maendeleo ya mawasiliano limewastua wengi hasa wanawake kwakuwa ni wazazi,lakini hata wanaume nao limewastua sana na kupelekea...
Kristu.....
Kuuliza sio ujinga, ikitokea umeachana na mpenzi wako kisha ukapata mchumba. Je kuna ulazima wa kumjulisha x wako kuwa umepata mchumba? Let say mnaishi mikoa tofauti ambapo sio...
Women are like phones:
They like to be held, talked to, and touched often.
But push the wrong button and your ass is disconnected.
Source: The Information superhighway (aka the internet...
Hivi kwanini siku hizi kupungukiwa nguvu za kiume ni ishu sana? (Upungufu kwa maana ya kutosimamisha, sio kutotoa mbegu hai).
Kwamba wanawake siku hizi wanapenda ngono sana? Na wanaume...
Habari wana JamiiForums. Nina mchumba mwanajeshi ambaye kwa sasa yupo mkoa tofauti na mimi.
Uchumba wetu una miaka miwili sasa.
Mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri lakini ghafla mawasiliano...
Yaani we acha tu. Mtu unamgegeda mkeo kwa raha zote, tena wala huvai mananihino kunako eti kuongopa ngoma wala nini.
Yaani ni kutafuna tu pekupeku tena bila wasiwasi wowote ule.
Hata ukichunwa...
HODII,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka kadhaa,yaani umri wangu unaruhusu kuolewa, niliwahi kuumizwa na mapenzi kiasi kwamba sikuwaza kama nitakuja kutamani kuolewa.
Miaka kadhaa imepita...
Yaani imekua tabu watu hawali vikalika, hawasomi vkasomeka hawatulii makazini kisa kuwasema wadada wa watu.
Hivi jiulizeni kuna mtu anapenda kufika 30 bila kua na mahusiano ya kueleweka...
Habarini za jioni.
Msaada wa mawazo tu katika hili, wewe mume unaishi na mkeo, then your mom amekuja now ana miezi 3, just likizo.
Mkeo ana tabia ya kumpa mama hela ya personal use every now and...
Nakumbuka zamani nikiwa mdogo, haipiti wiki bila kula nyama za mbuzi wa faini aliyotozwa mwanaume kwa kosa la kumpiga mkewe.
Yaani mama zetu walikuwa wanapigwa, lakini wameweza kudumu ndani ya...
salamu kwenu wakuu!!!!!
kwanza kabisa mimi ni mpenzi mkubwa wa majogoo wa jiji, LIVERPOOL FC na niliipenda zaidi wakati nipo A-LEVEL kuleeee Tanga kunani, na niliipenda kwa sababu JOHN BAINS...
HUYU mwanamke ameanza kunipakazia ili aonekane yeye anauza sana
ni muda sasa tangu siku moja nifumaniwe na bosi ofisini, nikitaka kula nae uroda, tukasitisha zoezi
lakini! nilibaki na chupi...
Kama ilivyo mambo mengine kuwa "affection" ni swala la kujifunza, baadhi ya wanaume waliokuzwa/kulia kwenye jamii yenye mfumo Dume (Waafrika kwa ujumla) huwa hawajui kuonyesha hilo hitaji, embu...
mambo wana jf jinsia yangu ni mwanaume,naish dar,nimwajiriwa,dini mkristo,elimu yangu ni chuo kikuu.situmii kilev chochote wala sigara,sijawah kuoa,sina mtoto.natafuta rafiki wakike ili baadae awe...
WanaJamiiForums wenzangu nahitaji wenu msaada hasa katika suala zima la kufika kileleni kwa mwanamke kupoje. Kwani ni jambo ambalo bado sijapata majibu sahihi ya kuridhisha.
Siku tatu zilizopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.