Nina mtoto baada ya mwaka mmoja wa ndoa

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,235
2,000
Nina rafiki yangu mwaka jana ameoa na tayari wana mtoto mmoja na mkewe sasa hivi karibuni mwanaume alikuta sms kwenye simu ya mkewe kwamba mtoto wako anaumwa tuma hela na kweli pesa ikatumwa kama elfu hamsini.

Baada ya jamaa kumuuliza mkewe akakataa na kusema siyo kweli simu alimwachia shoga yake jamaa kumbana zaidi ikiwemo kutaka kumfukuza ndo mke kakubali ana mtoto ana miaka mitatu na nusu na aliogopa na kwa kumwambia mmewe kwa kuhofia ndoa yake.

Mwanamke amerudishwa kwao mme hataki ndoa tena
Wanawake kuweni makini kuwa na mtoto sio dhambi na mtoto hafichwi mbona mwanaume kama anakupenda hata kama una mtoto atakuoa.
 
Makiri Unguluma

JF-Expert Member
Jul 21, 2011
992
250
Mwambie akachukue mkewe hayo madogo bana dunia yenyewe hii imeharibika sana kwanza si afadhali hata anaonyesha kuwa anamwogopa. Amsamehe bana wanadamu ni wadhaifu yule mwanaume wa kwanza alimuahidi pepo alipompa mimba akamkacha ndio maana yeye pekee ndio mkombozi
 
sinachangu

Member
Nov 4, 2014
47
0
Aisee uongo mbaya sana! Bora kuwa mkweli tu. Kama anakupenda kwa dhati atakupenda tu hata kama una mtoto. Pole kwa rafikiyo.
 
Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
3,996
2,000
Nina rafiki yangu mwaka jana ameoa na tayari wana mtoto mmoja na mkewe sasa hivi karibuni mwanaume alikuta sms kwenye simu ya mkewe kwamba mtoto wako anaumwa tuma hela na kweli pesa ikatumwa kama elfu hamsini.
Baada ya jamaa kumuuliza mkewe akakataa na kusema siyo kweli simu alimwachia shoga yake jamaa kumbana zaidi ikiwemo kutaka kumfukuza ndo mke kakubali ana mtoto ana miaka mitatu na nusu na aliogopa na kwa kumwambia mmewe kwa kuhofia ndoa yake.
Mwanamke amerudishwa kwao mme hataki ndoa tena
Wanawake kuweni makini kuwa na mtoto sio dhambi na mtoto hafichwi mbona mwanaume kama anakupenda hata kama una mtoto atakuoa.
Mkuu, rejea topic yangu ya binadamu kuwa MUME na MKE humu humu MMU.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,339
2,000
Mwache tu atarudikuimbaa najutaaaa ukiondokaaa ninajutaaaaaaa
 
Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
22,781
2,000
Ndoa ni dili sana ndo maana watu wako radhi kuwakana watoto wao wenyewe.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,339
2,000
Dahhhh lizzzyyyyy upooooooo missssss um,uccchhh ongeza m kwenye u
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,339
2,000
Molembe;11205700]Pdidy katika ubora wake pokea salamu toka ukuryani.[/QUOTE]

Onlyone in jf
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
12,994
2,000
Kuna dada namfahamu mume alimtelekeza na watoto mapacha na mmoja wa pacha akiwa na ulemavu. Baadaye mama mzazi wa huyo dada alitoka kijijini akaja kumsaidia bintiye kuwatunza wale watoto hasa yule wa mahitaji maalum. Ya Mungu mengi alimpata mwanaume akamchukua na watoto wake na mama mzazi na zaidi akasaidia kumpeleka yule mlemavu India. Wanaishi happily mwaka zaidi ya kumi. Wadada zangu kuweni wazi kama mtu anakupenda atachukua na wanao. Ukiona mwanaume hataki mwanao jua hakupendi bali anakutaka kimaslahi fulani tu. Mwanaume huyu alimchukua dada na vimapacha vyake mmoja akiwa mlemavu na bibi yao juu. Keeo it up mwanaume huyo.
 
Kwa dunia ya leo wanaume hao wachache sana.Lakini ndio isiwe kigezo kwa wanawake kutumia uongo!
 
masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
14,049
2,000
Mwache tu atarudikuimbaa najutaaaa ukiondokaaa ninajutaaaaaaa
unaimba au unaonbea wewe miaka inazid gu kwenda muandiko mbovuuuuuuu

pididy i feel you ukikosea nina furahi kuliko ukiandika vizuri
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,339
2,000
Masai unanipenda ama unanitamani

Go straight mara mwandiko mbovu Mara napenda muandiko

Sitakinataka azina nafasi jf

Tangaza nia tukuombee
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,339
2,000
Named E=Molene;11205760]Onlyone in jf[/QUOTE]

no one.[/QUOTE]

Wiwa basis na tigopesa,mpesa namba ileile

Hamad
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom