Beijing imewapa haki sawa,lakini nani ataumia?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
23,625
2,000
Beijing didn't give rights to anyone.

Rights are god-given (if I can say that).
kama hiyo haki sawa wote wamepewa na God then kila society duniani wanaume na wanawake ni haki sawa?wanawake wanapata haki sawa?
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,641
2,000
kama hiyo haki sawa wote wamepewa na God then kila society duniani wanaume na wanawake ni haki sawa?wanawake wanapata haki sawa?
Watu kutopewa haki sawa katika jamii zao haimaanishi hizo haki si zao na kwamba hawazistahili.

Basic human rights are fixed at birth.

They are not given to people by some conference like the one which was held in Beijing in 1995.

They are not given because they are already there.
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
23,625
2,000
Watu kutopewa haki sawa katika jamii zao haimaanishi hizo haki si zao na kwamba hawazistahili.

Basic human rights are fixed at birth.

They are not given to people by some conference like the one which was held in Beijing in 1995.

They are not given because they are already there.
OK!wanayo haki lakini usawa upo?
 
utafiti

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
12,797
0
nisamaraizie ..........
1417102750397.jpg
Walikua ni abiria waliosimama kwenye basi baada ya kukosa seat, ni mwanamke na mwanaume. Ghafla gari likapita kwenye mashimo hivi na kwa bahati mbaya mwanaume alimgusa au kumsukuma mwanamke. Demu kageuka na kibao kama vile yule jamaa alifanya makusudi.
1417102750397.jpg
1417103015647.jpg
Jamaa anajiuguza mauvivu hapa.

1417103138753.jpg
Safari haijaisha demu kajakumsukumu jamaa yuleyule nae pia ni bahati mbaya.

1417103161443.jpg
Mshkaji hajamuuliza nae kampa mbata yaukweli....
1417103201575.jpg
 
Attachments

Miss Neddy

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,699
2,000
View attachment 206184
Walikua ni abiria waliosimama kwenye basi baada ya kukosa seat, ni mwanamke na mwanaume. Ghafla gari likapita kwenye mashimo hivi na kwa bahati mbaya mwanaume alimgusa au kumsukuma mwanamke. Demu kageuka na kibao kama vile yule jamaa alifanya makusudi.
View attachment 206184
View attachment 206188
Jamaa anajiuguza mauvivu hapa.

View attachment 206189
Safari haijaisha demu kajakumsukumu jamaa yuleyule nae pia ni bahati mbaya.

View attachment 206190
Mshkaji hajamuuliza nae kampa mbata yaukweli....
View attachment 206191
hapo sipati picha alieumia ni mwanamke coz kibao cha jamaa sidhani kilikuwa kilaini kama cha dada lol
thank you love kwa samare
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom