Uchunguzi nimefanya toka kidato cha sita 2007 mpaka Leo lakini nimegundua wanawake wasomi at least kwa level ya shahada hawaolewi kwa rate kubwa na wako na stress sana mwisho wa siku wanazaa then...
Jamani wana jf jana nimekutana na mwamamke wakati tunafanya mapenzi huyo mdada alikua anacheka sana hapo alikua anamaanisha nini? Maana mi nilishazeoaga wadada wengi hupiga kelele sasa huyu...
Nilifuatilia hili hadi nimepata almost 75% wanasema kama ukishakuwa na uhusiano na mwanamke kabla ya kuolewa/ akiwa ndani ya ndoa yaani mmekuwa mnamegana, na kuachana kwa sababu nzuri tu, labda...
Habari zenu wana jukwaa,mimi kijana wa miaka 21,nimejiajiri natafuta mchumba wa kiislam ambae atakuja kua mke wangu umri wake ni 18-24,awe anaejielewa na mchapa kazi kama ukijiona unazo sifa...
Habari zenu wana MMU, wakubwa shikamooni.
Leo kuna jambo naombeni wenye uzoefu wanipe mawazo yao.
Mimi ni mama wa kambo kwa mtoto wa kiume wa miaka 8.
Nilimkuta baba yake amesha achana na...
Wadau, jana nilikuwa nilisikia kabila la waberbaig wao mahari ni nyani dume wawili...kiroho safi unapewa mke. Nilichojifunza usidharau tamaduni zisizozako....kwani kila jambo linathamani kubwa kwa...
Jana mida ya saa 4 kasoro usiku nikiwa na simu yangu naendelea kufuatilia bunge. Nilitokea Kijitonyama nikapitia Shekilango na nilipita mitaa ya Sinza barabara ya Mori nilitokea Mori kuelekea...
Habarini wadau. Hii ni mara yangu ya kwanza kupost hapa kwenye jamvi nia na madhumuni natafuta mume, mimi ni mwanamke wa miaka 31 naishi arusha nina watoto 2. Natafuta mume kuanzia miaka miaka 35...
Natafuta mwanamke age between 19-30 niko tayari kufanya lolote...chochote kwa ajiri yake awe tu mwenye msimamo na mwenye mapenz ya kweli na awe na wivu wa maendeleo na mwenye future vision me...
Aslaam alyeiku,kwanza naanza kwa kumshukuru Allah kwa uzima aliotupati,Kisha kuwashukuru wote mtakao changia mada hii,kikubwa ni kujenga na si kubomowa.
Nimejitokeza Mbele ya kurasa hii nia ni...
Habari zenu wana jf,
Iko hivi, kuna binti wa kazi tunaishi nae yapata miezi 6 sasa ana miaka 20 hivi na ana mtoto wa miaka 4 pia ana undugu wa karibu kiasi na mke wangu na alikulia kwao hd anapata...
habari zenu wapendwa
nadhani si mara yangu ya kwanza kujitokeza mele yenu na kuomba ombi hili,nakumbuka hii ni mara ya tatu, nia yangu ni kupata mpenzi wa roho,mwanaume tutakae match...
Haloo wana jf, happy new year, aa sorry kumbe mwaka bado haujaisha! Nimeshawahi kuskia wanawake waliozaa wanafurahia zaidi mapenz kuliko ambao bado hawajazaa na pia ni rahisi sana kukojoa wala...
Habari wa kuu, samahan mm nina maswali yafuatayo ninaomba nielimishwe hivi ni yupi anaepaswa kulipia gharama(mahari,pete ya uchumba,nauli ya kwenda na kurudi kama wanaishi mbali,na huduma ndogo...
Dunia bado inaendelea na kila mtu anajitahidi afanye kitu cha pekee na kutengeneza historia, na hawa nao wamekuja na ya kwao wakaamua kufanyia harusi ndani ya maji yaani chini ya bwawa
Bi Dorota...
Jamani mimi ni mvulana fulani natokea pande fulani. Natafuta binti wa kubadilishana mambo kadhaa.
SIFA ZAKE.
*Awe amepitia kwenye maswala ya mapenzi.
*Awe tayari kuulizwa swali lolote, nami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.