A real man needs a woman not just any woman

A real man needs a woman not just any woman

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Do u know who is this woman?

Any woman can can spend a man's money, ride his car, order voucher, order off menu, spending time at beach, spending at glorious and accepted residents around the world.

BUT

Only a real woman can help a man achieve his goals in life, support him when he is broke, push him to be successful, shower him with positive energy, compliment him on a regular basis and never kick him while he is down.

Man if u find a woman like that, make her your real partner in life.

First Born.
 
Kuna wanawake wamejaliwa si mchezo mkuu, ukikaa ukiongea nae dk 10 tu, unatoka na mawazo GB za kutosha..
 
Kuna wanawake wamejaliwa si mchezo mkuu, ukikaa ukiongea nae dk 10 tu, unatoka na mawazo GB za kutosha..

hao ndo wanawake tunaowataka.. sio wale ambao tikiwa nao baada ya starehe mwisho wa siku tunaishia papuchi na kuchunana tu... na ukiishiwa ndo unabaki kusengenywa hata salamu yako hawatapokea.
 
hao ndo wanawake tunaowataka.. sio wale ambao tikiwa nao baada ya starehe mwisho wa siku tunaishia papuchi na kuchunana tu... na ukiishiwa ndo unabaki kusengenywa hata salamu yako hawatapokea.
Ni kweli mkuu, kuna wanawake ukiwa nao utamu unapata tena anajiamini kweli lakini na akili ya maisha anakupa..
 
hao ndo wanawake tunaowataka.. sio wale ambao tikiwa nao baada ya starehe mwisho wa siku tunaishia papuchi na kuchunana tu... na ukiishiwa ndo unabaki kusengenywa hata salamu yako hawatapokea.
Ukishaishiwa utawasikia...NANI ANATAKA MWANAUME SURUALI..??? JF humu wapo tena wengi tu as per their coments...
 
Huwa nasikitika kuona wengine wanajutia...ndoa.
 
Kumpata kama huyo ni hadi awe chaguo lako, waweza pata mwenye vigezo hivyo ila akawa na mapungufu yake pia
 
Back
Top Bottom